ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Komesha ni kuweka sheria ukiletewa na ukanunua spea za wizi unapigwa miaka 30Masoko yao sio kificho na serikali ikitaka kudhibiti ni rahisi tu! Ni kuweka utaratibu wa manunuzi ambao ni rahisi kufatilia hata kama ni maduka bubu. Kuna biashara hazina control kabisa na sababu pia kuwa zipo level ya local authorities!
Inabidi itungwe sheria maalum kwaajili ya udhibiti wa biashara kama hizi bila kuathiri wanaofanya kihalali.
Wezi wa magari na vifaa vya magari wanajua jinsi ya kubypass hizo alarmWevi wamerudi!!?
vp turudi kwenye alarm system...
lazima tuangalie njia za kujihami
Sio hivyo mkuu,wizi wa aina hii,wezi wanakuwa na gari au bodaboda,wanakufuatilia tokea mjini au sehemu yoyote ulipokutana nao bila ya wewe kujua mpaka nyumbani kwako,wakishapajua kwako sasa wanaanza kusoma ratiba zako bila ya wewe kujua,kwahiyo siku ya kuja kukupiga mara nyingi wanakuja na gari,vitu vyote wakishachomoa kwenye gari lako wanahamishia kwenye gari yao ambayo wanaipaki sio mbali na kwako,wakishatimiza lengo lao wanaondoka kiulaini,na wanaweza kwa usiku mmoja wakaiba hata nyumba tatu au nne....Hakuna mtu anaweza kuja kuiba sehemu bila kuwa na mwenyeji.Ni uzembe wa Wenyeviti wa Mitaa. Wezi mitaani wanajulikana vizuri tu, ila kuna jinsi wenyeviti watakua wanafaidika
Usikejeli kijana. Haya mambo achana nayo. Yaone kama yalivyo tu. Omba yasikukute kabisaDuuuh Jamaa mzembe sana ,hadi wanafungua matairi yaani amelala? Au walimpiga gesi ya chlorine?
Usikejeli kijana. Haya mambo achana nayo. Yaone kama yalivyo tu. Omba yasikukute kabisa
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Babu watu wanabypass hizo alarm. Halafu kumbuka mwizi haji tu anafanya research kwanza.Uzembe mkuu na wala sio kejeli ,Mijini lazima gari uifunge alarm....zipo za elfu 70 hadi 150k....Labda inategemea mtu na mtu ,mimi hata ukigusa mlango tu au ukagusa dirisha nishastuka kitambo ndio iwe kufungua tyre? Unaweka jeki unaipump halafu hakuna aliyestuka? Ni walalavi hao.
hata wale vijana wa lumumba pale wanaonekana wezi kuna siku nimeenda kupiga ribiti gari yangu wakawa wanauliza naishi wapi nikajua wanataka kuchora ramani nikawatajia pa uongoBabu watu wanabypass hizo alarm. Halafu kumbuka mwizi haji tu anafanya research kwanza.
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Hao wezi sema hawajakuamulia tu,wakitaka kupajua unapoishi ni ndani ya muda mchache watakua washapajua!!hata wale vijana wa lumumba pale wanaonekana wezi kuna siku nimeenda kupiga ribiti gari yangu wakawa wanauliza naishi wapi nikajua wanataka kuchora ramani nikawatajia pa uongo
Kuna wale wezi walikuwa na escudo shortchasses nyekundu walisumbua sanaHao wezi sema hawajakuamulia tu,wakitaka kupajua unapoishi ni ndani ya muda mchache watakua washapajua!!
Mimi walishanipiga Brake lights pale Udoe Kariakoo ilikuwa parking ya Hoteli nikawakwida wenye Hoteli wakaenda kununua wakaleta wakafunga kwa gharama zaoOne time ndugu yangu almanusura aue watu wa kuuza vifaa vya spea za magari.
Aliibiwa kama hivi akiwa amesafiri, aliporudi akajaza risasi kwenye bastola yake akaenda kwenye hayo maduka akakuta vitu vyake, akawaomba wakamwambia avinunue, tunashukuru kwamba mambo yaliisha vizuri akachukua vitu vyake bila shida ila kijana wa dukani hatasau kilichomkuta.
Hawa jamaa wamerudi tena.
Mwezi jana alitambulika mwizi aliye vunja Duka na kuiba maeneo ya Madale kituo kipya cha polisi mwizi alikutwa na sare za polisi na jeshi nyumbani kwake Mwizi ajulikanae kwa jina la ACHIMWELE ! Amesumbua sana Madale ila muda mfupi polisi wa kituo hicho walimuachia! Kwaiyo sio suala la wenye viti tu ata polisi wasio waminifu wana walinda!Hakuna mtu anaweza kuja kuiba sehemu bila kuwa na mwenyeji.Ni uzembe wa Wenyeviti wa Mitaa. Wezi mitaani wanajulikana vizuri tu, ila kuna jinsi wenyeviti watakua wanafaidika
Ila alarm inasaidia sio sawa na bure!Wezi wa magari na vifaa vya magari wanajua jinsi ya kubypass hizo alarm
Hiyo alarm utaizima mwenyewe ili uwape nafasi ya kupiga tukio hao wahuni. Maana wataifanya iwe kero na usumbufu kwako hivyo utaamua kuizima tu mwenyewe.Ila alarm inasaidia sio sawa na bure!
Wale walipata digirii ya hizo kazi sauzi... Dalila 10 nyingi chuma inafanywa gofu...na ukiwatokea kiboya wanakukazia maana wanatembea na beretaKuna wale wezi walikuwa na escudo shortchasses nyekundu walisumbua sana
Kwenye kundi hilo kulikuwa na dogo mmja wa kiarabu hafaiiii
Ova
sema nnapoishi kuna ulinzi masaa 24 wataishia kuuwawa tuHao wezi sema hawajakuamulia tu,wakitaka kupajua unapoishi ni ndani ya muda mchache watakua washapajua!!
Kweli bro ni zaidi ya wizi ule ni uharibifu kwa kweli sio vizuri kabisa zile mambowiki jana meona picha ya video ya wizi ulofanyika kwenye gari aina ya VANGUARD dah yaani hao jamaa wanafanya uharibifu wa hatari