Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

Yaani hawa wezi wanaubia naona na wanausalama...hamna msaada kabisa siku hizi...kila siku matukio hayo hayo loh
 
Duuuh Jamaa mzembe sana ,hadi wanafungua matairi yaani amelala? Au walimpiga gesi ya chlorine?
Itakuwa walimpulizia kaputi kwanza kutoka dirishani! ....Halafu upite mahali ukute mwizi anatiwa Kiberiti uone Huruma?? [emoji34][emoji34]
 
hata wale vijana wa lumumba pale wanaonekana wezi kuna siku nimeenda kupiga ribiti gari yangu wakawa wanauliza naishi wapi nikajua wanataka kuchora ramani nikawatajia pa uongo
Eeeh eeh pale lumumba wote wale ni majambazi, walishaniibia logo ya gari kwenye ule mfuniko wa engine, mfuniko wa windshield siku nimeenda kuweka tint
 
...Na unaweza pia Ukakuta ni hao hao Wana Usalama! [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Pole sana mkuu. Dawa ni 'mguu wa kuku' tu.
 
Huyu Kunenge naona hana amsha amsha, huu mji unataka mtu ujitoe fahamu kama vioe Makonda, la sivyo utabaki kulaumiwa kwa kutochukua hatua. Kunenge chukua hatua.
Ndo tabia ya binadamu. Hana shukrani wala wema. Hajui anachokitaka. Mlimponda hana sifa kuwa RC, hana elimu, vyeti fake. Mkamwita daud bashite. Lakini wachache walimwona ni msaada. Leo mnamkumbuka!
 
Kwa Paulo ndio ile mitaa karibia na mnara wa simu sijui Voda ile?

Maana watu walivyojitenga kule, likipigwa tukio huna ujanja
 
Kama mnamjua mnashindwa vipi kumuua? Watu dhaifu kabisa
 
Eeeh eeh pale lumumba wote wale ni majambazi, walishaniibia logo ya gari kwenye ule mfuniko wa engine, mfuniko wa windshield wa siku nimeenda kuweka tint
Ukiwa unamiliki gari ni vyema uwe na watu wako kwa kila unachohitaji sio kila mtu kumkabidhi gari yako...

Au la hasha unaweza pitia fundi wako wa gereji kupata msaada kama huo wa tinted n.k
 
Huyu anakula kibano ataje wenzake halafu yeye katika safari ya kupelekwa polisi anapotezwa. Msako unaanza kuwakamata kwa siri mmoja mmoja hadi wahame mji. Tatizo hakuna ushirikiano.

Huko bush alikamatwa dogo mwizi. Vijana wakampiga kamba kupeleka kituo cha pplisi. Hawakufika naye. Walimfunga jiwe zito wakamtumbukiza kwenye mto. Waliporudi wakadai kawazidi nguvu kakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…