Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo [emoji16][emoji16]..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Singo maza hapana sio wa kuoa mkuu, we jichanganye unaanza kumtetea kwasbb ya hisia za ngono......na jingine sio rahisi muislamu kubadili Dini ni swala la mda tu.tena kama baba mtoto alikua muislamu mwenzie hapo utalia kabisa utasikia wewe unaolewa je na kafiri, rudi nikupe chochote unacho taka kwa ajiri ya Allah ila uachane na kifiri, huyo ili uwepuke moto wa jihanamu na laana.
 
Hadi unaoa mwanamke mwenye mtoto unakua umekosa nini kijana??
Hebu jaribu kumuuliza mama yako au dada zako uone watakujibu nini.
Dada zako hawatakua tayari uoe mwanamke mwenye mtoto.... Japo hawatakulazimisha
 
Dah kwahiyo mkuu, single mother hawana haki ya kuolewa? Kipi ni Bora kumchukia single mother na kuona hafai au kumuweka ndani Binti aliyetoa mimba kadhaa, aliekua anatumia P2 n.k?
 
Sema washkaji wengi wanafiki kinoma mkiwa humu mnawaponda ila mnawaoa sana mm majamaa zangu wengi waliooa wameanza Moja bila
Ukweli mkuu, Mimi na mshikaji wangu alioa single mother na mkewe anamuheshimu jamaa sana, nimeuliza hapo juu, kuoa single mothers au kuoa Binti ambae amechoropoa mimba kadhaa?...
 
Achana na stori za vijiweni dogo. Kama mmeridhiana oa huyo mama. Achana na wanaokula kwa mashemeji hao. Single mother ana shida gani?

Mimi nimeoa single mother fresh kabisa mwaka unaenda wa 16 huu hakuna changamoto yoyote.
Mzee wangu ana wake wawili, mke mkubwa kamuoa tayari anae mtoto, lakini mpaka sasa wamezeeka pamoja.
 
Ukweli mkuu, Mimi na mshikaji wangu alioa single mother na mkewe anamuheshimu jamaa sana, nimeuliza hapo juu, kuoa single mothers au kuoa Binti ambae amechoropoa mimba kadhaa?...
Kwann unaamini ambae hana mtoto kachoropoa mimba? Kwnn haiwezekani hata huyo singo mumamaz kachoropoa na yy
 
Back
Top Bottom