Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Jidanganyeee,,,, ogopaaaaaaaa
 
Kuoa hakuna formula, Kuna tuliooa mabikra ila Cha moto tunakiona.

Usingle mother hauhusiani na kuwa na tabia za hovyo hovyo,

Asilimia kubwa hizo ni tabia zao za muda , usingle mother tunausingizia tu
 
Singo maza hapana sio wa kuoa mkuu, we jichanganye unaanza kumtetea kwasbb ya hisia za ngono......na jingine sio rahisi muislamu kubadili Dini ni swala la mda tu.tena kama baba mtoto alikua muislamu mwenzie hapo utalia kabisa utasikia wewe unaolewa je na kafiri, rudi nikupe chochote unacho taka kwa ajiri ya Allah ila uachane na kifiri, huyo ili uwepuke moto wa jihanamu na laana.
😂😂😂dah jmn
 
Back
Top Bottom