Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Achana na stori za vijiweni dogo. Kama mmeridhiana oa huyo mama. Achana na wanaokula kwa mashemeji hao. Single mother ana shida gani?

Mimi nimeoa single mother fresh kabisa mwaka unaenda wa 16 huu hakuna changamoto yoyote.
Usimdanganye mwenzako. Kwamba ndoa yako ni ya kipekee sana kiasi imekosa Changamoto?
 
Kama haya ndio mawazo yako unasita (ACHA) sababu hata kama wamefanikiwa asilimia 100 itakuwa sio wewe...

Issue sio Single Mother hata asiye mama nina uhakika asilimia kubwa sio the First; Issue ni Maturity ya Mtu anayeingia kwenye hayo mahusiano lazima awe tayari na mwenye Hekima na Busara... (Sababu what is at Stake sio Maisha yenu Wawili) bali kiumbe kingine ambacho uzembe au upuuzi wenu unaweza ukafanya maisha ya kiumbe hicho kukosa raha....

Again narudia wewe haupo tayari kuingia kwenye hayo mahusiano (ungekuwa tayari usingeuliza bali ungekuja kutetea)
Sawa maturity ni jambo moja ila ushawishi wamwanaume wengi tunaujua. Ingekuwa maturity ndo inazuia mtu kupigwa pumbu Jokate asingekuwa singo maza leo hii
 
Tuliachana na tuna mtoto, tukiwa pamoja alizingua alipoanza kucheat nikampotezea, mawasiliano ikawa kwa ajili ya matumizi tu na mambo ya msingi kwa ajili ya mtoto. Naheshimu mahusiano ya watu sikurudi nyuma,...sasa hivi ndo anabembeleza turudiane eti kwa ajili ya mtoto,nikasema hapana haiwezekani kurudiana, anaomba hata basi tukumbushane anabembeleza. Ila nadhani upande wa pili jamaa kichwa kinawaka moto sasa hivi, single mothers ngumu kuachana na watu waliozaa nao hata kwa kisiri.
Sasa mtu ambaye aliachika kwa cheating anawezaje kuwa mke bora? Na hii ni kwa vile uthibitisho wake unakuwa mgumu sana.

Most women atakwambia jamaa alikuwa anamnyanyasa na kumchiti and this is done by 90% ya wanawake. Hata ukimtongoza demu leo hii wakati anakubali atakupa angalizo usije ukamchiti kama flani 😂😂😂 ila kiufupi wengi wao ndio vichomi.
 
We oa wana uzoefu na maisha na akili zao huwa zimetulia hawana utoto na akizingua mpige chini asubui tu. Mimi mama yangu aliolewa singo maza, baba mkwe alioa singo maza tena wote wake wawili aliwaoa wakiwa singo mama na hadi sasa wote wana hadi wajukuu
Hao singo maza wa zamani walikuwa na sababu za kuachika ama kufiwa au unyanyasaji ila sio kuwa walikuwa wanategesha mimba kama hawa wacenge wa sikuhizi kisa ndoa. Akitoswa anaanza kujifanya superwoman huku anadanga.
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Mnapooa hao singo maza huwa mnajifikiria wenyewe tu au huwa pia mnafikiria haki za hao watoto wao kuwaona wazazi wao wakiwa pamoja pia kwenda out na baba na mama zao mara mojamoja? Yaani kumruhusu beby dady wake kuja kumchikua mtoto wake na mke wako akawapeleka out kisha kuwarudisha kwako ili tu mtoto ajifumze kitu kwa kuwaona wazazi wake pamoja wakinadilishana mawezo au wakimusngalia akicheza?
Au mnadhani mtoto hana haki hiyo?
 
Kuna mambo mawili hapo
1. Kuoa single mother
2. Single mother kubadili dini
Duuuhh vyote ni vipengele vizito, ninachojua moyo ni kichaka huwezijua kimeficha nn.
 
Sawa maturity ni jambo moja ila ushawishi wamwanaume wengi tunaujua. Ingekuwa maturity ndo inazuia mtu kupigwa pumbu Jokate asingekuwa singo maza leo hii
Nadhani haujanielewa Maturity, Hekima na Busara....

Maturity in so far as hautasikiliza maneno ya watu bali ku-follow matakwa yao bali wewe kujua unachokifanya na kujali maisha yako..., Sio wewe umependa sababu ya Uzi wa watu kuponda humu ndani unabadilika na kuishi maisha wanayotaka wao na sio wewe ulivyojipangia....

Hekima na Busara katika Malezi..., sababu watoto au binadamu anaweza akaamua au akasema kitu kwa hasira bila kumaanisha unaweza ukamkanya mtoto akaona umemuonea sababu sio mtoto wako wa kuzaa au anaweza akakujibu wewe sio Baba yangu - Hapo itabidi utumie Hekima na Busara kama Mzazi kwamba hizo ni Hasira and she/he does not mean it..., Sababu malezi na mapenzi unayotoa ni zaidi ya hata Baba yake mzazi ambaye kwa wakati huo hayupo (Kwahio mtoto, mama mzazi na hata biological father inabidi wakushukuru kwa Hekima na Busara zako)...; Life is just Perception.....
 
We huezi kushaurika,cis ushafanya maamuzi,KAZI KWAKO.
 
We oa wana uzoefu na maisha na akili zao huwa zimetulia hawana utoto na akizingua mpige chini asubui tu. Mimi mama yangu aliolewa singo maza, baba mkwe alioa singo maza tena wote wake wawili aliwaoa wakiwa singo mama na hadi sasa wote wana hadi wajukuu
Mkuu wazazi wako watakuwa wa Islamu kwasababu waislamu kuoa single mother siyo tatizo.
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Lipa Ada hudumia mwanae lazima akupende..

KAULI MBIU """KUOA SINGLE MOTHER NI KAMA KUNUNUA SHAMBA LENYE MIGOGORO"""

NB.
OA SINGLE MOTHER KAMA MUMEWE AU MWENZA WAKE AMEFARIK
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Mkuu naona hapo unahitaji ushauri wetu na wakati huohuo unatuelekeza namna ya sisi kukushauri wewe
 
Back
Top Bottom