Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Kwenye kupenda huwa hatutumii akili bali tunatumia roho.

Roho inaishinda akili kwa maamuzi ikiwa imependa.

Hata tukwambie ukweli kuwa huyo hakufai utatusikiliza?

Ni bahati mbaya sana vijana wetu wa sasa mnabebwa na mitandao na ukisasa, sisi hatuwawezi!

Wewe huyo mchumba wako katika kuonesha nia yake ya kuolewa ulitarajia akuoneshe makucha yake halisi?

Hakuna mwanamke aliyetulia akazalia nyumbani.

Na mwanamke huwa anabembeleza ndoa na kujionesha utulivu na upole ili kulinda haki zake, yaani ukiisha muoa tu, anajiachia kwa tabia zake halisi hilo ulielewe.

Na muungano wa kiroho kwa ajili ya mtoto kati yake na mzazi mwenza huwa haufi na hilo jambo akishatulizana kwenye ndoa, wewe litakunyima sana usingizi.

Sijataka kumwagika sana kwenye uchambuzi wangu, itoshe kusema tu kuwa, kama haujawahi kuoa katika maisha yako, si vizuri kuyaanza maisha yako ya kwanza kwa ndoa na mwanamke aliyekwisha kuzaa na mwanamme mwingine.
 
sisi wana mitandao tukushauri sasa,,,ww muoe bwan
 
Tatizo unakuja huku tayari una majibu yako unatuchosha tu jomba sema,


Ungekuwa karibu ningekutia kerub ya karibu na sikio na shingo ili niistue kidogo Medula naona Plug haichomi kabisa. Nilishasema humu, kama imechacha ishachacha tu!
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Sikiliza moyo wako, sio kila single maza hajielewi wapo maelfu na mamilioni timamu na ukiwapata hutojutia

Nina ushuhuda ndugu yako alikuwa mmoja wao, na nakiri hakuna ndoa isiyo na changamoto ila habari njema ni kuwa sasa yeye na mwenzi wake wanautafuta mwaka wa 15 wapo pamoja, na Mungu anazidi kuwabariki
 
Siku akikuambia anaenda kumuona Baba mtoto vipi utaongozana nae au utaacha aende mwenyewe 😂😂
 
Achana na stori za vijiweni dogo. Kama mmeridhiana oa huyo mama. Achana na wanaokula kwa mashemeji hao. Single mother ana shida gani?

Mimi nimeoa single mother fresh kabisa mwaka unaenda wa 16 huu hakuna changamoto yoyote.
Hatimaye singo maza wamepata MTETEZI.

#YNWA
 
HIIIII, JIDANGANYEEE, HATARIIIII, OGOPAAAAA. mi nilidate nae tu hata sikuoa lakini nilikiona cha moto. Kuna wakati heshima inashuka ukimwambia vipi mbona tunachukuliana poa kama umepata bwana sema nikuache huru usijifiche fiche, anakwambia wala hana bwana kama unataka akuzingatie muoe. Sasa unajiuliza yaani nikuoe ili uniheshimu wakati watu wanaonesha heshima ili waolewe ndio walete fujo. Nikatupa kule.
 
Angalia amani ya moyo wako. Kuna watu wameoa single maza na wanaishi safii kabisa. Na wapo walioa hao single maza wakapigwa na kitu kizito. The same hata kwa ambao hawajazalishwa
 
Hadi unaoa mwanamke mwenye mtoto unakua umekosa nini kijana??
Hebu jaribu kumuuliza mama yako au dada zako uone watakujibu nini.
Dada zako hawatakua tayari uoe mwanamke mwenye mtoto.... Japo hawatakulazimisha
Kwani huyo ulie nae atabaki bila mtoto?

Acha kuwaza kwa mwili

Lengo la kuoa ni kuendeleza kizazi na furaha. Hauoi milele kuna siku utakufa au atakufa ataolewa au utaoa tena. Haijalishi ulioa bikra au single mama.

Tafuta kinachokufurahisha, usiishi kwa mkumbo mleta uzi, ishi maisha yako.
 
Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba

Mwanamke mjinga kama huyu kweli uumfanye mke?

You will learn the hard way
Sasa yeye si alimpenda sana huyo "irresponsible man" kwahio inabidi uishi ukitambua hilo na endapo huyo irresponsible man akitaka kuloweka wala hatumii nguvu nyingi maana akimuita mpenzi wako tu kimahaba lazma amtie nyavuni😂
 
Hapo kinachofanyika ni hiki,huyo singo madha ndio anahitaji ndoa na sio wewe,yaani siri ya kuhitaji kitu ipo hivi,kkama mvuvi anavyohitaji samaki,basi mvuvi anapaswa kujua samaki nahitaji nini,na jibu ni kwamba samaki anahitaji chambo,hivyo unapaswa uweke chambo kwenye ndoano ili samaki aje kirahisi.Na ndio huyo singo madha anachofanya yeye anahitaji ndoa,ameshajuwa ndoa inahitaji utiifu usikivu akili upole hivyo amekuektia vyote hivyo ili uingie kwenye mtego ili upate wazo la kumuoa,akishaipata ndoa tuu,utaziona rangi zake halisi.
kijana ameingia kwenye mfumo wa single maza 😂! Ni swala la muda tu, ndoa huwa inatafutwa kwa adabu sana.
 
Shabani na Zamaradi si unaona wapo pamoja???

Shabani kamkuta Zamaradi ana watoto 2,na yeye kapigilia misumari 2 kwenye jeneza!

Single mother's ni watamu mno,shida zao tu... Junior akianza kusumbua na wewe utasumbuka!

Utasikia mwache Junior achezee tu hiyo simu,ukimkataza atalia! Unaona kabisa Tecno yako inavunjwa kioo,bado unaambiwa mwache Junior, ukimkataza atalia
Shabani ana kila sababu ya kuwekwa kwenye mabango yani ikiwa kama ifuatavyo.

1.Kujitoa muhanga maana inafahamika kabisa kwamba single maza wake ana daliki moko. Inataka ujasiri kujiweka kwenye mazingira hayo.

2.Haiba ya singo maza mwenyewe, huhitaji degree wala miwani ya macho kutambua jinsi zamathunder alivyo fugly. It takes a real man to keep that kind of woman.

Kingine ni advantage alizo nazo yule singo maza kwa mwamba nadhani hata wewe usingekataa offer hizi.

1.Ana urithi na mgao wa share kila mwaka. Share almost 40% alizoacha marehemu.

2. Single maza ameji submit by 100% maana hana options tokana na alivyo na status yake kiafya.

3.Amejengewa nyumba na kupewa maisha na single maza pamoja na magari na biashara.

3. Aliudhuria mazishi ya baba wa watoto wa single maza 😂
 
kama aliyezaa nae bado yuko hai...hiyo ni betting mkuu, angekuwa aliyezaa na amekufa na umeliona kaburi lake angalau
 
Bro hakuna formula kwenye kuoa kitu cha msingi ni kutafuta mwanamke anae fir requirements zako tu pasipo kuangalia jamii na mikumbo ya watu
 
Back
Top Bottom