Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apana kuoana single faza na single maza kivyovyote watoto wa faza wataumia kisaikolojia, watakosa baadhi ya malezi mazuri na ule upendo wa mama, mda mwngn ni rahis mgogoro kuzuka mwanamke utaona kama mwanaume anawazingatia Sana wanae na mwanaume nae hvo hvoLeo kwa mara ya kwanza umeongea ukweli, ndoa nyingi huku naziona za single maza.
Ila ingependeza single maza wangeoana na single faza ili kubalance mambo.
Shabani na Zamaradi si unaona wapo pamoja???
Shabani kamkuta Zamaradi ana watoto 2,na yeye kapigilia misumari 2 kwenye jeneza!
Single mother's ni watamu mno,shida zao tu... Junior akianza kusumbua na wewe utasumbuka!
Utasikia mwache Junior achezee tu hiyo simu,ukimkataza atalia! Unaona kabisa Tecno yako inavunjwa kioo,bado unaambiwa mwache Junior, ukimkataza atalia
Acha uongo waislam kibao wanabadili dini tena wakitoka wanakuwa wanaokoka kabisa ushahidi upo kabisa ukitaka weweSingo maza hapana sio wa kuoa mkuu, we jichanganye unaanza kumtetea kwasbb ya hisia za ngono......na jingine sio rahisi muislamu kubadili Dini ni swala la mda tu.tena kama baba mtoto alikua muislamu mwenzie hapo utalia kabisa utasikia wewe unaolewa je na kafiri, rudi nikupe chochote unacho taka kwa ajiri ya Allah ila uachane na kifiri, huyo ili uwepuke moto wa jihanamu na laana.
Kama umempenda mchukue huyo ukiona na din kabadili chukua huyo hao huwa wanatulia sana coz wanajua maisha, hapa wanaokukataza ni wivu tu nakuambia hiloNimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.
Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,
Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?
Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..
NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.
Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Sasa kama alitumia advantage ya umaskini wake,huoni nawewe unatumia advantage ya mzigo alionao kwa kua umeubeba begani....subiri awe stable kupitia wewe ndio utajua ulikua daraja au nini?Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.
Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,
Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?
Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo [emoji16][emoji16]..
NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.
Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Hahahaha bro kwa hizi sound single mother hachomoi....😂😂😂Singo maza hapana sio wa kuoa mkuu, we jichanganye unaanza kumtetea kwasbb ya hisia za ngono......na jingine sio rahisi muislamu kubadili Dini ni swala la mda tu.tena kama baba mtoto alikua muislamu mwenzie hapo utalia kabisa utasikia wewe unaolewa je na kafiri, rudi nikupe chochote unacho taka kwa ajiri ya Allah ila uachane na kifiri, huyo ili uwepuke moto wa jihanamu na laana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani game imeanza mtu ashapigwa kimoko...
Oyaaa ujumbe gani tena huo usioandikika hapa Vale, au una mimba yangu?
Wapo Ila Ni Wenye kumshika Mungu kwelikweliUkipata niunganishe nioe mkuu, Mimi sijaona mwanamke mzuri ambae hajatulia.
Umempenda yup Kati ya muha Na single momNdio hivyo mkuu, Ili kuhusu huyu single mother nikichakata ubongo wangu vizuri, nikiona kama siwezi kukaa nae itabidi nimchukue tu huyo muha Ambaye sio mzuri kwa muonekano/elimu lakini najua nitakaa nae kwa amani na kuzeeka pamoja, kwa sababu nidhamu yake ipo juu, upole n.k
Mdada unaonekana unamakasiriko sana.Ila tukiacha kero za single maza, hakuna watu pasua vichwa km single dady hii mijitu hapana..!!!! 🙌🙌🙌
Alioa single mother? Yy alikuwa tayari ana watotot au?Kuna mtu anaitwa Steven Wassira, na kuna baadhi ya watu wamembatiza jina la Tyson, yeye amethubutu hilo.
Ova
Yeah! Alikuwa na watoto tayari kabla.Alioa single mother? Yy alikuwa tayari ana watotot au?
Nimecheka kifal sanaApo una oa mke wa mtu mkuuu baadae anakusaliti anaenda kupasha kiporo wewe una Baki home unaimba abaabaaaaa baaaaaa prakata tumbaaaa
Ni humu wanaandika ila huku uhalisia tofauti wanaoa sana tuSema washkaji wengi wanafiki kinoma mkiwa humu mnawaponda ila mnawaoa sana mm majamaa zangu wengi waliooa wameanza Moja bila
Nyie zaeni tuNi humu wanaandika ila huku uhalisia tofauti wanaoa sana tu