Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ushauri wako kwenye uzi wako umenitoa tongotongo na nimeona nilifanya kosa kubwa sana kumwonea huruma mtu aliyeniibia. Simwachii Mungu aliimba msanii moja wa Bongo Fleva.
Kwanini uibiwe simu 3 ndani ya miezi 6? Hili ndio tatizo la kuliangalia.achana na hayo mambo ya polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana yaani..walishanifanyia hii kitu but nilichowafanyia mpaka kesho wakiniona wanasema we jamaa wew pita hivi achana na sisi....jamaa wanapiga sana watu na huu mchezo mkuu....Hiyo ya kununua simu unakamatwa kuwa mmikiki alikabwa na mambo kama hayo huwa ni michezo ya baadhi ya police wasiokuwa waaminifu.
Iko hivi nakuuzia simu bei chee .... ukiondoka best yangu anatoa taharifa kakabwa nakuporwa simu na fedha....
Watu wanakuja kukudandia wanakutisha ili kumaliza kesi unachomolewa pesa kibao wao wanagawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu nimejifunza hivi karibuni nilikuwa na kesi juu ya simu./simu za mitaani usinunue hata kwa bure...
Sent using Jamii Forums mobile app
mama ako yeye aliwamotivate kwa nini?
Unamaanisha rushwa ?Cyber Crime uwezo wa kutrack na kuipata simu iliyoibiwa wanao na wameshakamata simu nyingi tu! my sister mwaka jana pale Ostabay aliweza saidiwa na akapata simu zake 2 zilizoibiwa! Tatizo mpaka wawe motivated😁
Tatizo watu hawako stationary,Wana move arround,hata mnara ukurekodi uko area,lakini haiwezi kupinpoint hasa ulipo tuseme Hadi mita 10,inabidi wawepo watu wa kufanya legwork kukuotea,
Sasa tuseme uko nagurukuru,wanaokufuatilia wako dsm,halafu huko nangurukuru sio ulikojiandikishia nida Hapo inakuaje Kama sio itahitajika human resource kukutrace?
Taratibu Mkuu, Bongo kuna kifaa cha Trace IMEI ya mtu mpaka wampate au walitumia icloud kuikamata hiyo simu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pisi kali, Hiyo ya kununua simu unakamatwa kuwa mmikiki alikabwa na mambo kama hayo huwa ni michezo ya baadhi ya police wasiokuwa waaminifu.
Iko hivi nakuuzia simu bei chee .... ukiondoka best yangu anatoa taharifa kakabwa nakuporwa simu na fedha....
Watu wanakuja kukudandia wanakutisha ili kumaliza kesi unachomolewa pesa kibao wao wanagawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulitoa sh ngapi mkuu?Exactly! Mimi mwenyewe nmeshawai kuipata na nliambiwa muda wowote nkipoteza niende naipata.jenga nao urafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuibiwa Simu, wala kudondosha Simu toka nianze kutumia Simu 2004!
Na nimekulia na kuishi Uswahilini kwenye Uhuni ni Vibaka tele.
Unawezaje mtu kupoteza/Kuibiwa Simu mfululizo namna hii?