Kuna yeyote anamfahamu huyu nabii David Stefano Mpanji wa Mbeya?

Hakuna unabii hapo,njia ya kutafuta ugari tu hiyo.
 
Aisee mambo mazito haya mkuu.Wanavyotaja Jina la yesu na roho mtakatifu unaweza kudhani wanamaanisha.
 
Namfahamu kitambo Sana. Ila naamini kama kuna political science, basi kubwa religious science. Huyu Bwana amefikisi wajane pale Mbeya hadi basi. Anauza let say nyumba ya marehemu hela zote kwa mpanji.
 
Dah
Dah kuwa na maarifa kwenye maswala ya Mungu ni muhimu sana sasa hyo ndugu ambaye hataki kuacha pombe,ikiwa mwenyewe hajalidhia kuacha unywaji wa pombe mtu hyo hata kwa maombi hawezi kuacha
 
Uko sahihi mkuu! Haya mambo ni magumu sana!! Kuna siri nyingi sana juu ya haya mambo
 
kuna kiburi na majivuno na ujinga hayo nimeyaona kwa watumishi wengi wa Mungu
kama mkristo inabidi utumie akili sana kumwelewa mtu mwenye wito
Wengi wamefungwa na hiki kifungo cha dini/imani.
 
Wengi wapigaji naulio mtaja akiwemo na mpanji
 
Mpanji Bana kunasehemu alikotokea mpaka kufika mbeya akawa mchinja nguruwe ukunakule hapa na pale mchungaji katengeneza katoo zakutosha ahaaa sasa sibaba wajinga ndio waliwao
 
Takataka tapeli hili, Yesu hakuja duniani kwaajili ya miujiza alikuja kubadilisha watu mioyo kwa kuwaokoa na kuwaonesha nuru mpya, miujiza ilikuwa ni nyongeza tu kudhihirisha uwezo wake

Sikuhizi miujiza ndio imekuwa sehemu muhimu ya kupigia pesa kwa hawa manabii wa uongo.
 
Wote wale wale, hata wanaompiga vita wale wale. Kuna mtu naishi naye akiamka ufungulia redio flani ya mahubiri sijui ni Wapo yani kila siku wanahubiri kuhusu sadaka na fungu la kumi kwa style mbalimbali.
Toa sadaka yako leo uone nguvu ya sadaka. Kuna mama alikuwa hapati ujauzito ila alitoa sadaka mwezi uliopita jana kanipigia analia anasema mtumishi nimeenda hspital nimepima nina ujauzito. Na wewe toa yako leo uone mguvu ya sadaka.
Kila siku sadaka na wanatoa namba.
 
Namfahamu kitambo Sana. Ila naamini kama kuna political science, basi kubwa religious science. Huyu Bwana amefikisi wajane pale Mbeya hadi basi. Anauza let say nyumba ya marehemu hela zote kwa mpanji.
Kufiksi unamaanisha nini mkuu
 
Haya makanisa ya kilokole huwa wananena kwa lugha na mpanji anaponda sana mambo ya kunena kwa lugha.Mpanji msisitizo wake watu wakombolewe kutoka kwenye vifungo kwa kutumia bidhaa zake(maji na mafuta na chumvi).Walokole msisitizo wao watu wampokee yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao.Hapa unaweza kuuona mpishano fulani ndio maana hawaishi kupigana vijembe.Mpanji hana kabisa mafundisho ya kuwajenga waumini yeye muda wote ni kelele tu fire! fire!
 
Dah anasisitiza sana wakombolewe kwa kuombewa na kwa maji,mafuta na chumvi,lakini mambo ya kuwajenga watu kiimani hanaga kabisa huyu mtu,hata yale mambo ya kunena kwa lugha hataki kabisa kusikia.Nahisi mtu akinena kwa lugha anaweza hata kumfukuza kanisani kwake.
Nini msimamo wako mkuu kuhusu kunena kwa lugha?
 
Mpanji Bana kunasehemu alikotokea mpaka kufika mbeya akawa mchinja nguruwe ukunakule hapa na pale mchungaji katengeneza katoo zakutosha ahaaa sasa sibaba wajinga ndio waliwao
Anasimuliaga maisha yake ameshaeaho kufanya kazi hizi ulinzi,machinga, na uvuvi
 
Ikiwa anauza maji na mafuta mkwepe isikuchanganye.

Kila anayeuza nguvu za mungu Kuna mahali anapozinunua

Kwenye Bible hatukuona nguvu za mungu Yesu zikiuzwa

Ujue nguvu zinazouzwa ni za mungu mwingine sio mungu Yesu
We ni liongo unataka kanisa aliendesheje sasa na kununua si lazma hata mwamposa huwa mnasema hivyo lakn nilienda nikaona asilimia kubwa maji na mafuta wanaenda nayo wananyanyua juu yanaombewa mwny kununua anunue ili kuchangia kanisa uendeshaji
 
Ikiwa Mungu amemwelekeza mtu aponye kwa maji au mafuta, huyo huyo MUNGU lazma atoe njia ya kupatikana bure.

Ila Kama ulivyosema uliambiwa maji shilingi 100 ya uponyaji ujue wazi so MUNGU Yesu ni formula ya MUNGU mwingine
We unaZjua fomula za Mungu ww ? We unamjua Mungu ww tatzo mnaleta fomula za madhehebu yenu kwny mambo ya Mungu.

Mungu hana fomula hata shetan anaweza kumfanya kuwa mtumishi wake kwa malengo fulani hujui aliufanya moyo farao kuwa mgumu kwa makusudi ili awaonyeshee israel

Hapa potosha wajinga tu japo mi si muumini wa mwamposa wala hawa manabii mi ni mshrika wa KLPT bt sina unyumbu wa kukashifu huduma za watu eti ksa tu hawafanyi kama dhehebu langu huo ni unyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…