Kunahitajika kauli moja ya Watanzania kuhusu matukio ya utekaji na kuumizwa

Mli-target kumpiga risasi ya ubongo lakini imeenda kufumua taya ,mkalenga mumtupe kwenye hifadhi aliwe na Big cats(Simba,chui) lakini ametoka salama.

Watekaji mmepewa somo(alert) hapo ,hammalizi salama 2025 lazima mkate moto.
 
Mli-target kumpiga risasi ya ubongo lakini imeenda kufumua taya ,mkalenga mumtupe kwenye hifadhi aliwe na Big cats(Simba,chui) lakini ametoka salama.

Watekaji mmepewa somo(alert) hapo ,hammalizi salama 2025 lazima mkate moto.

Watekaji na wauaji hawa mashetani, tunaomba Mungu anyoshe mkono wake, yeteketee yenyewe na vuzazi vyao.
 
Vyombo vipo kimya
 
Muulizeni mwashambwa.yeye alisema utekaji nyara ulikuwa kipindi cha jpm je anayetaka sasa ni nani?
 
Acha uwendawazimu. Kama kuna mtu ametukana, anatakiwa kukamatwa kwa taratibu za kawaida.
Taratibu za kawaida kasema nani!!?..we watukana mitusi iso kawaida unataka watu wafuate taratibu za kawaida!?..akitoka hapo hatukani tena
 
Hiyo sio njia sahihi.
Mahakama zina kazi gani?.
Utapeleka watukanaji wangapi!?..maana wapo wengi,hiyo njia ya kutumia karakana za polisi ni Bora zaidi, watukanaji huko waliko wanajiuliza ikiwa wao wanafuata au laa
 
Nyumbu wamepata mtaji.

Naamini sio kila utekaji unaotokea ni wa Kisiasa.

Ni hivyo tu.
 
Waji-injoyi maana yake nini!?..we huwa punguwani,na uelewa wako mdogo,sijui ulipitia taasisi gani za elimu!!
 

Miviongozi ya Tanzania haiwajibiki kwa wananchi haiwezi tolea ufafanuzi wowote maana wanajua hamna Cha kuwafanya.

TZ ukiwa kiongozi unakua umepewa mamlaka ya kutumikiwa not the other way around.
 
Mie natamani kujua kwanini alitolewa Osterbay police station na kupelekwa Arusha, huko Arusha kwa nani na kwanini huko?

Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?

Kwani hauna D mbili wewe?
 
Je kama plan ni kumchafua pia huyo wa Arusha..........yote yanawezekana
 
Je kama plan ni kumchafua pia huyo wa Arusha..........yote yanawezekana

Mtu wa Arusha ni ZERO Brain ,huwa hatumii akili vizuri ,matukio anayoyafanya yanaacha traces hadi US nao wanayaona ,tukio la lissu aliacha trace ,Lissu anapigwa risasi na yeye alikuwepo DODOMA ,SATIVA ametekwa akapelekwa Arusha ,why Arusha? Wamchafue yeye kivipi? Mbona matukio anayoyfanya ya utekaji lkila mtu anajua ,ROMA mwenyewe alisema aliyemteka.....Na pia alinukuliwa baada ya wasanii kumfuata akasema ROMA ataonekana ndani ya saa 48 na kweli kesho yake akaonekana.

Mtu wa Arusha damu za watu hazitomuacha salama ,hata BEN SAANANE alivyopotea alikuwa anawasiliana nae ili waMEET.....Kwenye vikao vyake vya huko arusha aliwaambia POLISI inakuwaje mtu mwizi anaenda POLISI halafu anarudi? Kuna neno aliongea akasema mambo mengine jinsi ya kufanya wataongea kwenye vikao vyao vya nDANI ,alitaka kuropoka kwamba mtu kama huyo ni KUMMALIZA tu.

MO kutekwa naye ni Mtu wa ARUSHA.

Wasiotumia akili wanajiuliza mbona mwendazake kaenda lakini matukio ya utekaji bado yanaendelea? Wanashindwa kujiuliza kwani MTU WA ARUSHA si yupo? Orginizer wa UTEKAJI bado yupo.
 
Wakati mwingine wakidhani utekaji ni kujenga hofu kwa jamii ili serikali isitukanwe...ninavyoona ndiyo inakuwa chanzo cha wananchi kuchukia serikali yao.

Mimi hata sijui matusi ya huyo kijana na mtandao wa X wala tusi alilotukana ila sasa najua kijana kidogo auawe.....
 
Yote yanawezekana.......aidha kumchafua au ndo ujumbe umetumwa...............hadi ifike 2025 itaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…