Kunahitajika kauli moja ya Watanzania kuhusu matukio ya utekaji na kuumizwa

Sasa rasmi watekaji nawatangazia kiama , ndani ya siku 47 mtaanza kufa midomo wazi , sio maneno yangu ,Mungu amenituma kuwafikishia ujumbe kama ulivyo , na hii sio mtekaji kuanzia msuka mipango
 
Waji-injoyi maana yake nini!?..we huwa punguwani,na uelewa wako mdogo,sijui ulipitia taasisi gani za elimu!!
EEEEEnHeeeeEEE!
Hivi hukumbuki kabisa hili swala la" elimu" tulishamalizana siku nyingi sana humu JF, hukumbuki?
Ngoja nikukumbushe: chukuwa elimu uliyo nayo wewe, ongeza na ya baba yako, na wajomba zako wote; ila usimhusishe mama yako pekee, kwa sababu ni huyo pekee ninaye heshimu elimu yake. Nyinyi wengine wote, pamoja na wadogo zako na kaka zako, wote ni kondoo tu!

Litafute hilo bandiko humu humu JF utalipata.
 
Taratibu za kawaida kasema nani!!?..we watukana mitusi iso kawaida unataka watu wafuate taratibu za kawaida!?..akitoka hapo hatukani tena
Hivi unajua unachokisema na kukijenga? Huu ujinga wa uvccm et Al ukijabackfire mtaanza kuwindana na kuuana kwani itafika mahali kila kundi kujipanga na kujihami na mwishoni hii amani ya mchongo itayeyuka na kupotea.
Chuki unayoijenga hapa haitatuacha salama katu. Rejea ya Kenya na Nigeria kudharau na kukebehi wanaoumizwa wakidhani wanawashikisha adabu na kuwatisha kumbe wanawajaza hasira na ghadhabu. Na Kama huwezi kuwafariji hao waloumizwa kwa mtindo huu basi kunja vidole vyako visiandike hapa!
 
Acheni kutukana serikali na viongozi, unaweza kujenga hoja bila matusi,kedi,dharau,dhihaka,ukitaka kuonekana mwamba,watakutatua tu marinda
Hu mpumbavu ,tafasiri ya serikali ni nini , Shenzi kabisa njoo Unitele nipo hapa korogwe na uone moto utakutana nao ,pumbavu , naweza kufa kwa maumivu ,liwa na wanyama ila ikawa bado nafsi ipo , ayo maneno mwambie mkeo na wazazi wako sio sie tulio katika ufalme wa mbingu ,tukome kama ulivyo kama ziwa la mama ,pumbavu, wewe upo na mwili wa chuma ,hutokufa?
 
DAAH NDUGU YANGU CCM WAMEWEKA PAMBA MASIKIONI NA KUVAA MIWANI YA MBAO, HIVYO HAWAONI WALA KUSIKIA WANAJUA KINACHOENDELEA
Halafu miwani ya mbao itakuwa mizito sana hadi kichwa kinakuwa kizito kufanya maamuzi, kwa maana nguvu nyingi zitatumika kibeba miwani hiyo, (energy)
 
Siyo kila jambo la mahakamani,wakati mwingine tunatiana tu adabu nje ya mahakama
Na huoni Hilo Kama kinyume Cha katiba mnayoapa kuilifuata na kuilinda?
Kama mmeamua kuifuata njia hiyo ya mkato ya kuingilia idara ya polisi na mahakama basi futeni wizara ya mambo ya ndani na ya Sheria maana hazitakuwa na kzi Tena ili fedha zinazotumika kuwalipa mishahara ziekekezwe bima ya afya. Sijui umenielewa?
 
We lalama tu,lakini ndiyo hivyo
 
Hu mpumbavu ,tafasiri ya serikali ni nini , Shenzi kabisa njoo Unitele nipo hapa korogwe na uone moto utakutana nao ,pumbavu , naweza kufa kwa maumivu ,liwa na wanyama ila ikawa bado nafsi ipo , ayo maneno mwambie mkeo na wazazi wako sio sie tulio katika ufalme wa mbingu ,tukome kama ulivyo kama ziwa la mama ,pumbavu, wewe upo na mwili wa chuma ,hutokufa?
Jifunze kuandika kwanza...halafu nakusihi uache matusi
 
Hivi unajua unachokisema na kukijenga? Huu ujinga wa uvccm et Al ukijabackfire mtaanza kuwindana na kuuana kwani itafika mahali kila kundi kujipanga na kujihami na mwishoni hii amani ya mchongo itayeyuka na kupotea.
Chuki unayoijenga hapa haitatuacha salama katu. Rejea ya Kenya na Nigeria kudharau na kukebehi wanaoumizwa wakidhani wanawashikisha adabu na kuwatisha kumbe wanawajaza hasira na ghadhabu. Na Kama huwezi kuwafariji hao waloumizwa kwa mtindo huu basi kunja vidole vyako visiandike hapa!
Jipange na kujihami tuone,tz siyo Kenya,utachakaa
 
EEEEEnHeeeeEEE!
Hivi hukumbuki kabisa hili swala la" elimu" tulishamalizana siku nyingi sana humu JF, hukumbuki?
Ngoja nikukumbushe: chukuwa elimu uliyo nayo wewe, ongeza na ya baba yako, na wajomba zako wote; ila usimhusishe mama yako pekee, kwa sababu ni huyo pekee ninaye heshimu elimu yake. Nyinyi wengine wote, pamoja na wadogo zako na kaka zako, wote ni kondoo tu!

Litafute hilo bandiko humu humu JF utalipata.
Tehtehetehteh kuandika kiswahili huwezi,una elimu gani wewe!?..mi Sina kaka Wala dada we punguwani usiye elimu
 
Hivi bado huelewi? Nenda katafute mrejesho niliokupa hapo juu. Sina shaka yoyote kuhusu elimu yako ndogo.
 
Wewe shule hukwenda,ni dhahiri kwenye uandishi na ujenzi wako wa hoja,sihitaji hata kujisumbua
 
EEEeeenHEEEeeee!
Hili tulisha malizana nalo siku nyingi sana huko nyuma, humu humu JF. Inakuwaje liwe jambo la kujadili tena hapa!
Au tokea wakai ule ulijitutumua kidogo kurudi shule. Lakini mbona bado upo chini sana?
 
Back
Top Bottom