King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yes yeye ndiyo alikuwa anaongoza GENGE LA WATEKAJI aka MAKIRIKIRI.Dah..
Hapo ni rahisi tu ku connect dots.
Inasemekana awamu iliyopita alikuwa mhimili wa hayo mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes yeye ndiyo alikuwa anaongoza GENGE LA WATEKAJI aka MAKIRIKIRI.Dah..
Hapo ni rahisi tu ku connect dots.
Inasemekana awamu iliyopita alikuwa mhimili wa hayo mambo
Mie natamani kujua kwanini alitolewa Osterbay police station na kupelekwa Arusha, huko Arusha kwa nani na kwanini huko?
PumbavuMtu asiyeweza andika lugha yake ataweza kujenga hoja!?
Jeshi la polisi limeshazoea kutekateka. Hili jambo litaleta aibu kubwa sana kwa siku za baadaeHili jambo lina tatizo sana hasa kwa upande wa Serikali. Watetezi wanazidi kuharibu kabisa afadhali wakae kimya
1. Wanaosema ni mapenzi imethibitika kutoka kinywani kwake alipelekwa Oysterbay kituo cha Polisi
2. Haiwezekani mtu wa kawaida ampeleke njia zote hizo kwasababu ya mapenzi !
3. Kama ana matusi au mapenzi, mtuhumiwa anafikishwa Polisi si Porini halafu anafunguliwa mashtaka
4. Ndugu walikwenda Polisi na kuambiwa hayupo, leo inajulikani alikuwepo. Polisi walificha nini? na kwanini
5. RPC wa katavi alisema '' wanaanzisha uchunguzi'' sasa mtuhumiwa kasema alikuwa Oystebay Police
6. Kituo cha Polisi Oyesterbay hawajakanusha kauli ya Sativa
Jambo hili linakwenda sehemu hii
1. IGP ajitokeze kueleza nini kilitokea katika Jeshi la Polisi na kwanini
2. Waziri wa mambo ya ndani ajitokeze aeleze jambo hili
IGP na Waziri wa mambo ya ndani wanaweza kukaa kimya na kudharau, kitu kimoja hakikwepeki tayari kuna kujichanganya katika Jeshi la Polisi kuanzia kukataa mtuhumiwa alipo, kituo cha Polisi kuhusishwa na majeruhi kuwa hai. Viongozi hawa wawili wanapaswa kujitathmini kwasababu tatizo linazidi kupanda ngazi!
Tindo JokaKuu Pascal Mayalla Maxence Melo
Daudi Albert Bashite ni wazi amerudi kuendelezea pale alipoishia.Mie natamani kujua kwanini alitolewa Osterbay police station na kupelekwa Arusha, huko Arusha kwa nani na kwanini huko?
Code imefunguka hata mimi nimeelewa sasa.Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Kwani hauna D mbili wewe?
Ili kuondokana na matukio haya ya kishetani, tujiulize ni kwa nini zamani hayakuwepo. Matukio haya yalianza wakati wa utawala wa Kikwete kwa kiasi kidogo, yakashamiri wakati wa utawala wa Magufuli, na yamekuwa mengi kupindukia wakati huu wa utawala wa Samia.Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki.
Tanzania bila utekaji na kuumizwa inawezekana .
Ipo vedio hivi ya kijana ambae inaonekana anajulikana kwa jina SATIVA ,simfahamu ila yupo na dam kama sie,
Alitekwa 23/6/ 2024 kwa mjibu wa taalifa za hapa na pale pitia mitandao ya kijamii , na imesemakana amekutwa katupwa hifadhini katavi na clip yake inatembea mitandaoni mpaka mda huu ,nani yupo nyuma ya jaribio hili lakutoa uhai wa ndugu mtajwa hapo juu hatujajua.
Kama nchi ikiwa tumeamua ishi kwa utaratibu huu wa kutekana ,kuumizana hakuna alie salama maana mtekaji anaweza tekwa pia na kuchomwa moto pia,
Kwa andiko hili najua jf imejaa watu makini sana.
Naomba kama sehem ya watz tulio jf kuja na hoja au tamko la pamoja nini kifanyike juu ya upuuzi huu ,wa kishamba na ujinga .
Karibuni wakuu
PIA SOMA
- SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Osterybay kabla ya kusafirishwa sehemu zingine na nimepigwa risasi ya kichwa
- Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na watu wasiojulikana
Wewe utakuwa ni miongoni mwa hao mashetani.Acheni kutukana serikali na viongozi, unaweza kujenga hoja bila matusi,kedi,dharau,dhihaka,ukitaka kuonekana mwamba,watakutatua tu marinda
Chadema si iliwaiteni pale muongee kutukana mamlak?Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki.
Tanzania bila utekaji na kuumizwa inawezekana .
Ipo vedio hivi ya kijana ambae inaonekana anajulikana kwa jina SATIVA ,simfahamu ila yupo na dam kama sie,
Alitekwa 23/6/ 2024 kwa mjibu wa taalifa za hapa na pale pitia mitandao ya kijamii , na imesemakana amekutwa katupwa hifadhini katavi na clip yake inatembea mitandaoni mpaka mda huu ,nani yupo nyuma ya jaribio hili lakutoa uhai wa ndugu mtajwa hapo juu hatujajua.
Kama nchi ikiwa tumeamua ishi kwa utaratibu huu wa kutekana ,kuumizana hakuna alie salama maana mtekaji anaweza tekwa pia na kuchomwa moto pia,
Kwa andiko hili najua jf imejaa watu makini sana.
Naomba kama sehem ya watz tulio jf kuja na hoja au tamko la pamoja nini kifanyike juu ya upuuzi huu ,wa kishamba na ujinga .
Karibuni wakuu
PIA SOMA
- SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Osterybay kabla ya kusafirishwa sehemu zingine na nimepigwa risasi ya kichwa
- Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na watu wasiojulikana
Hiyo inaitwa sheria mkononi swali fikirishi je hizo sheria za mkononi jamii ikiamua na yenyewe kuziishi, (asmillate), nadhani itakuwa mwaga ugali vs mwaga mboga hapa tunaongea kama utani lakini ndiyo huko tunaelekeaHakika huu utekaji si afya kwa Mama wanamharibia kiaina. Watu wenye makosa kwanini hawapelekwi kwenye vyombo vya sheria?