4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
-
- #41
Mumeshaanza kuhamisha magoli sasaUnakubalika sana Komredi
View attachment 3027858
Wameanza , safari hii kama unajua we ni chawa wa ccm kaa mbali na mimi, hata tukutanapo popote ,naishia hapaMumeshaanza kuhamisha magoli sasa
EEEEEnHeeeeEEE!Waji-injoyi maana yake nini!?..we huwa punguwani,na uelewa wako mdogo,sijui ulipitia taasisi gani za elimu!!
Jikite kwenye hojaWaji-injoyi maana yake nini!?..we huwa punguwani,na uelewa wako mdogo,sijui ulipitia taasisi gani za elimu!!
Hivi unajua unachokisema na kukijenga? Huu ujinga wa uvccm et Al ukijabackfire mtaanza kuwindana na kuuana kwani itafika mahali kila kundi kujipanga na kujihami na mwishoni hii amani ya mchongo itayeyuka na kupotea.Taratibu za kawaida kasema nani!!?..we watukana mitusi iso kawaida unataka watu wafuate taratibu za kawaida!?..akitoka hapo hatukani tena
Hu mpumbavu ,tafasiri ya serikali ni nini , Shenzi kabisa njoo Unitele nipo hapa korogwe na uone moto utakutana nao ,pumbavu , naweza kufa kwa maumivu ,liwa na wanyama ila ikawa bado nafsi ipo , ayo maneno mwambie mkeo na wazazi wako sio sie tulio katika ufalme wa mbingu ,tukome kama ulivyo kama ziwa la mama ,pumbavu, wewe upo na mwili wa chuma ,hutokufa?Acheni kutukana serikali na viongozi, unaweza kujenga hoja bila matusi,kedi,dharau,dhihaka,ukitaka kuonekana mwamba,watakutatua tu marinda
Halafu miwani ya mbao itakuwa mizito sana hadi kichwa kinakuwa kizito kufanya maamuzi, kwa maana nguvu nyingi zitatumika kibeba miwani hiyo, (energy)DAAH NDUGU YANGU CCM WAMEWEKA PAMBA MASIKIONI NA KUVAA MIWANI YA MBAO, HIVYO HAWAONI WALA KUSIKIA WANAJUA KINACHOENDELEA
Na huoni Hilo Kama kinyume Cha katiba mnayoapa kuilifuata na kuilinda?Siyo kila jambo la mahakamani,wakati mwingine tunatiana tu adabu nje ya mahakama
We lalama tu,lakini ndiyo hivyoNa huoni Hilo Kama kinyume Cha katiba mnayoapa kuilifuata na kuilinda?
Kama mmeamua kuifuata njia hiyo ya mkato ya kuingilia idara ya polisi na mahakama basi futeni wizara ya mambo ya ndani na ya Sheria maana hazitakuwa na kzi Tena ili fedha zinazotumika kuwalipa mishahara ziekekezwe bima ya afya. Sijui umenielewa?
Jifunze kuandika kwanza...halafu nakusihi uache matusiHu mpumbavu ,tafasiri ya serikali ni nini , Shenzi kabisa njoo Unitele nipo hapa korogwe na uone moto utakutana nao ,pumbavu , naweza kufa kwa maumivu ,liwa na wanyama ila ikawa bado nafsi ipo , ayo maneno mwambie mkeo na wazazi wako sio sie tulio katika ufalme wa mbingu ,tukome kama ulivyo kama ziwa la mama ,pumbavu, wewe upo na mwili wa chuma ,hutokufa?
Jipange na kujihami tuone,tz siyo Kenya,utachakaaHivi unajua unachokisema na kukijenga? Huu ujinga wa uvccm et Al ukijabackfire mtaanza kuwindana na kuuana kwani itafika mahali kila kundi kujipanga na kujihami na mwishoni hii amani ya mchongo itayeyuka na kupotea.
Chuki unayoijenga hapa haitatuacha salama katu. Rejea ya Kenya na Nigeria kudharau na kukebehi wanaoumizwa wakidhani wanawashikisha adabu na kuwatisha kumbe wanawajaza hasira na ghadhabu. Na Kama huwezi kuwafariji hao waloumizwa kwa mtindo huu basi kunja vidole vyako visiandike hapa!
Tehtehetehteh kuandika kiswahili huwezi,una elimu gani wewe!?..mi Sina kaka Wala dada we punguwani usiye elimuEEEEEnHeeeeEEE!
Hivi hukumbuki kabisa hili swala la" elimu" tulishamalizana siku nyingi sana humu JF, hukumbuki?
Ngoja nikukumbushe: chukuwa elimu uliyo nayo wewe, ongeza na ya baba yako, na wajomba zako wote; ila usimhusishe mama yako pekee, kwa sababu ni huyo pekee ninaye heshimu elimu yake. Nyinyi wengine wote, pamoja na wadogo zako na kaka zako, wote ni kondoo tu!
Litafute hilo bandiko humu humu JF utalipata.
Mtu asiyeweza andika lugha yake ataweza kujenga hoja!?Jikite kwenye hoja
Hivi bado huelewi? Nenda katafute mrejesho niliokupa hapo juu. Sina shaka yoyote kuhusu elimu yako ndogo.Tehtehetehteh kuandika kiswahili huwezi,una elimu gani wewe!?..mi Sina kaka Wala dada we punguwani usiye elimu
Wewe shule hukwenda,ni dhahiri kwenye uandishi na ujenzi wako wa hoja,sihitaji hata kujisumbuaHivi bado huelewi? Nenda katafute mrejesho niliokupa hapo juu. Sina shaka yoyote kuhusu elimu yako ndogo.
Kwa hiyo kumbe watekaji ni nyie polisi?!!Utapeleka watukanaji wangapi!?..maana wapo wengi,hiyo njia ya kutumia karakana za polisi ni Bora zaidi, watukanaji huko waliko wanajiuliza ikiwa wao wanafuata au laa
EEEeeenHEEEeeee!Wewe shule hukwenda,ni dhahiri kwenye uandishi na ujenzi wako wa hoja,sihitaji hata kujisumbua
Kakwambia nani Mimi polisi?Kwa hiyo kumbe watekaji ni nyie polisi?!!
Dah..Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?