Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.
Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf Mrema,na yule makamu mwenyekiti aliyepita wa Zanzibar ambaye amefunguwa kesi kudai mgawanyo sawa wa raslimali za chama.Je kwani wakati yupo na Mbowe na Mrema mgawanyo ulikuwa sawa?
Kinamchome hadi kwa msajili na Mbowe hajawahi kutowa maoni wala kushauri hapo ndipo naanza kuamini Mbowe anashirikiana na CCM kuhujumu CHADEMA hata Dokta Slaa alisema Mbowe anscheza na watu wa system na CCM kuhujumu chama.