Kunamtu humu aliwahi kuandika Mbowe anafabya kazi na CCM na akasema hamtaamini ni miaka 2 sasa imepita

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.

Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf Mrema,na yule makamu mwenyekiti aliyepita wa Zanzibar ambaye amefunguwa kesi kudai mgawanyo sawa wa raslimali za chama.Je kwani wakati yupo na Mbowe na Mrema mgawanyo ulikuwa sawa?

Kinamchome hadi kwa msajili na Mbowe hajawahi kutowa maoni wala kushauri hapo ndipo naanza kuamini Mbowe anashirikiana na CCM kuhujumu CHADEMA hata Dokta Slaa alisema Mbowe anscheza na watu wa system na CCM kuhujumu chama.
 
Swahiba wake mkubwa hapa JF johnthebaptist mara kadhaa amesema kubwa Mbowe anatumiwa na CCM wengi tylimpuuza lakini naona kama kuna ka ukweli fulani hivi.
 
Issue ya Mbowe ipo hivi; (don't take serious this opinion) Chadema kilipoanzishwa haikuwa iwe chini ya uongozi unaotoka nje Kilimanjaro au kwenye himaya yao ukoo vs wana wa wale waanzalishi.

Sasa baada ya Mzee Mbowe kusikia kelele nyingi za muda wa uongozi umepita sasa tufanye uchaguzi, akaona hapa hakuna mwingine (isitoshe hajamuandaa vizuri kijana wake kuwa kiongozi) akaona ngoja apambane na TAL akijua Antipass apiti.

Kilichotokea ni hadithi hadi leo.

Majibu ta hiki nilichoandika ni, angalia out look ya mwenyekiti CDM wa kanda ya Pwani, hiyo ndiyo inatoa picha ya hiki nikisemacho.
 
Acha upumbavu , Mbowe sio mjinga kama machawa wa ccm , Ogopa mtu anaeweza kukusikiliza akajua akili yako then akakupuuza uku anacheka, ukitaka jua hili tafuta sifa za mtaafu ,Mbowe sio kilaza japo anaweza teleza tu kama binadam , ila sio kilaza ,hana njaa ya pesa .

Ya chadema waachie wenyewe.
 
Mpango ni kwamba Huyu ndugu ndiyo anajiandaa kuondoka chadema na kuingia ccm kwa kupata nafasi ya waziri mkuu .
 
Hivi aliyefungua kesi ni nani?
Makamu mwenyekiti mstaafu aliyeshindwa kwenye uchaguzi juzi. Na Maulida Komu mdhamini wa cdm Znz. Kimsingi huyo Maulida Komu ndio aliyefungua kesi kwa maagizo ya Mbowe.
 
Makamu mwenyekiti mstaafu aliyeshindwa kwenye uchaguzi juzi. Na Maulida Komu mdhamini wa cdm Znz. Kimsingi huyo Maulida Komu ndio aliyefungua kesi kwa maagizo ya Mbowe.
Wahuni hao,watakwama
 
Hajatuambia siri ya kutolewa ghafla gerezani na kuwa uraiani huenda kunadili hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…