Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Nauliza tu. Wachagga ni watanzania halisi ama wakimbizi?? Mbona wako tofauti na watanzania!!!!

Wachagga Wako kivyao kama wahindi. Kumkuta mchagga amechangamana na kabila lingine wanapiga story nadra mno, labda wachache sana. Hata katika maduka, workshop n.k hawezi ruka duka la mchagga mwenzie akaenda kumuunga msukuma, mzaramo, mhaya n.k, , wanachangiana wao kwa wao. Au ni mimi tuu nimeliona ilo????
 
Wahaya wanaroho mbaya sana na majivuno, Mhaya anaweza kumchukia hata ndugu yake aliyezaliwa pamoja.

Mhaya akipata elimu anaongeza majigambo ili hali Mchanga ataiumia kujikwamua kimaendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…