luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kama tumeukimbia mbona ni mkoa wa pili kwa maisha bora ,makazi bora kwa 90%? Je hivyo vitu vinafanywa na nyani sio watu?[emoji2][emoji2][emoji2] Anyway NGOJA nikuachie miss pablo akushulikieBasi Kama ni ndogo jengen maghorofa.moshi kumejaa maghofu Hadi kero
Mmekatazwa? au kazi kukimbia mkoa tu
Hahahah mm pia huko kagera Nina shamba ekari 15 nimepanda miti wacha tuwafungue akili Wana ardhi kubwa lakini ni mkoa wa 9 kwa umaskiniMbona nyie hamkua nayo miaka hiyo? Kwani yaliyoko yana shida gani? Maghorofa mapya tunajeng milimani. Mjini paache patabadilik wakati ukifika. Jua hatuuzii viasaka kama ndo lengo lenu[emoji23][emoji23]
Halafu pesa tunaenda zutafuta lwa malofa waliolala hawataki kazi
Nakuja bk kununua shambaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ngoja niku prove wrongNakuona nakuoa na misifa mchaga_haya wew[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Eti 10? Maprofesa 10 unawajua wew[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway tukuiteje koku manka au Rutabanzibwa Mushi[emoji23]
Ndugu uhayani nimekaa na Nina investment huko,nawajua vizuri hadi kihaya nakijua kwa 40% hata wahaya Wana classes,Mara wayoza(bukoba) wajione Bora Mara waziba(misenyi) wajione Mara wa muleba não wajione weweeeHayo Mambo ya mchaga wa uru,sijui kibosho, machame ndo vitu gan
Si ndo kutengana huko..
Hadi mnaogopa kuoana.
Hampendan
Ulishawahi sikia muhaya wa wap sijui wap ?na sio kwamba wahaya wote ni sawa lakini mkikutana vijiji vinahama mnakuwa majirani[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]umetisha mankaKwani moshi imejengwa lini na akina nani pia? Ama waijua history ya kwenu tu? Karibu kwetu kuna mpaka wajerumani warombo[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwingine nakubali ila kwa ndizi huna uwezo wa kuzalisha 65% kwa kipi? Ndizi zenu soko lenu ni mwanza 95% tu sisi Kilimanjaro ndizi zetu soko letu ni dar,Nairobi, Mombasa,tanga,na arusha kote huko tunawalisha na wanashiba[emoji2][emoji2] hapo sijaongelea parachichi ambazo Kenya tunawalisha kwa 100%Mimi nawasaport wahaya hasa wa kiume kuendelea kuzichakata Tena kwa katerero sio kujibanabana na kujikuta unachakatwa[emoji23]
Takwimu za Tanzania za umaskini zinashangaza Sana.
Kagera izalishe kahawa 60%, izalishe maharage 20%,izalishe ndizi 65%, izalishe vanilla 90%, izalishe Sukari nk. Wilaya zina hospital Hadi tano,wilaya zote zinalami,watu wanasomesha watoto shule nzr una English medium vijijini,
Bado majumba ya kufa mtu vijijini
Lakin bado wanakwambia mkoa wa kagera ni wa 10 kwa umaskini ukiziwa na mikoa ya pwani,mtwara, nk kwa sababu Ina viwanda vingi na population ndogo kulinganisha na GDP wakati vijijini huko hali Tete.
Watawa wa kiume ni Kilimanjaro kwa maana ya mapadri,kule kwetu uchagani, wastani wa kila parokia Ina mapadri si chini ya 15 alafu wengi wanafanya nje ya nchi piaWanawake wa kihaya wapo wa aina mbili wale wanaojielewa . Hawa ni vichwa na Wana akili Sana ya maisha na wanajali familia zao wako Sana huko bukoba na wengi ndo mama zetu hao
Halafu Kuna haya mapumbavu yaliyokimbia bukoba baada ya kupata mimba na kuja kujiuza huko kwa wahaya hayo yamelaaniwa na ukoo na mizimu ya kihaya imewageuka [emoji23]
Cha ajabu wanawake hao hao wa kihaya ndo wanaongoza kujiunga na utawa. Hakuna kabila lenye watawa wa kike Kama wahaya nchini
Naam mm nyumba yangu kule uchagani nikija bukoba najenga 2 kama hizo ,Moshi ni tofali za block time bukoba wanajengea tofali za kuchoma na simenti ni udongo Sissi Kilimanjaro 100% ni full simentSasa si wewe uliyekariri moshi mjinj. Pale watu wanashuka asubuhi wanapiga mishe halaf jioni wanapanda milimanj kwenye mahekalu yao. Na huko ni zaidi ya hivyo.mind u, ujenzi wenu ni very cheap
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Vipi linganisha na tofali moshi na bukoba,ujue moshi hatuna tofali za kuchoma ni block tuEti ujenzi very cheap?[emoji849][emoji15]
Hebu tulinganishe saruji bukoba ni sh ngap na Moshi sh ngap
Kwenye elimu wachaga mtasubiri Sana labda kwenye utapeli mnaongozaShida inakuja pale mhaya anapojilinganisha na mchaga kimaendeleo na kielimu ndo ugomvi unaanzia hapo.
Wahaya bado bado sana labda kwenye utapeli wanatuzidi
Kabisa kwenye ulevi ulio pindukia wachaga wanaongozaMchaga alichomzidi mhaya Ni ulevi uliopindukia
Kwenye elimu mchaga atasubiri Sana labda ulevi , mirungi na bangi wanaongozaNyie mmetuzidi kwenye wizi na ujambazi na wanawake kuua waume zao refer UFO saro
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kijana unabisha Nini .Kwingine nakubali ila kwa ndizi huna uwezo wa kuzalisha 65% kwa kipi? Ndizi zenu soko lenu ni mwanza 95% tu sisi Kilimanjaro ndizi zetu soko letu ni dar,Nairobi, Mombasa,tanga,na arusha kote huko tunawalisha na wanashiba[emoji2][emoji2] hapo sijaongelea parachichi ambazo Kenya tunawalisha kwa 100%
[emoji23][emoji23][emoji23] sifa za mchanga anaenunua sementi 12,000/= wakati bk ni 21,000/=Naam mm nyumba yangu kule uchagani nikija bukoba najenga 2 kama hizo ,Moshi ni tofali za block time bukoba wanajengea tofali za kuchoma na simenti ni udongo Sissi Kilimanjaro 100% ni full siment
Kabisaaa mkuuUkubwa au udogo sio hoja ndugu,tena nyie wenye ukubwa ndo mngetakiwa kutuzidi sisi wadogo maana mna rasilimali kubwa i.e ardhi
Sisi mngetupatia huo mkoa wa kagera ukaja Kilimanjaro hakika ingekuwa NEWYORK
Mkuu nakuja nioate na mimi mtreme wangu huko. Heka bei gani?Hahahah mm pia huko kagera Nina shamba ekari 15 nimepanda miti wacha tuwafungue akili Wana ardhi kubwa lakini ni mkoa wa 9 kwa umaskini
Anafikiri namtania ati. Yaani sielewi tuu tatizo la kutopenda shule ni mimi peke yangu[emoji23][emoji23][emoji23].. yaan nawajua maprofesaa wengi wa ukoo.. sema tu ni ajabu boma letu halina mtawa awe ni wa kike ama wa kiume. Ila maprofesa wapo aisee.Ngoja niku prove wrong
Pale muhas pekee tuna maprof Zaid ya 15 nikija udsm je? Nikija mzumbe na sua ndio kabisa,nikija nyumbani kcmc, na ushirika je? Acha urongo maprof 21 wapo tu kijiji kimoja huko kwetu Kilimanjaro, kwa takwimu za haraka haraka tunao maprofesa zaidi ya 200 PhD hoders hawahesabiki,masters na degrees ndio mafuriko maana Hakuna sekta yoyote iwe ya chini,ya Kati au kubwa utakayokosa wachaga
Eeh, anajua mji umejengwa lini? Ama history haijamkaa sawa? Hajaona lami iliwekwa lini moshi mjini? Maghorofa anayotaona leo hii makuu anajua yalijengwa lini? Wao wana mangapi hapo bukoba?[emoji2][emoji2][emoji2]umetisha manka
Yaan anadai bk ndo wanatulisha dar? [emoji23][emoji23] yaan madereva wote wa fuso sijawahi ona aliyetoke huko na ndizi. Ndizi inatoka mbeya na moshi. Mbeya ndo wameanza juzi kati tu. Halaf huo mwendo wa ngiri fuso na tandam wanaotembea nao hapo moshi na hapa dar tu ni balaa. Hapo wanawahi ndizi isiivie njiani. Ama haelewi kqann mafuso yanakula mzinga sana? Sembuse umbali wa bk na dar? Si fuzo yote ndizi itaivaKwingine nakubali ila kwa ndizi huna uwezo wa kuzalisha 65% kwa kipi? Ndizi zenu soko lenu ni mwanza 95% tu sisi Kilimanjaro ndizi zetu soko letu ni dar,Nairobi, Mombasa,tanga,na arusha kote huko tunawalisha na wanashiba[emoji2][emoji2] hapo sijaongelea parachichi ambazo Kenya tunawalisha kwa 100%
Halaf kuna watu walikua wanalalamika mpaka na hili jamani[emoji23] nilishangaa. Nikasema hv hawoani hii idadi ya mapadre kweli? Ni wengi mno. Ila ukoo wangu ndo uma shida[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] sijawhai sikia padre aisee. Rombo kule ni nyum apadre nyumba padre. Kwetu shida ni nn.Watawa wa kiume ni Kilimanjaro kwa maana ya mapadri,kule kwetu uchagani, wastani wa kila parokia Ina mapadri si chini ya 15 alafu wengi wanafanya nje ya nchi pia
No wonder katika Baraza la maaskofu katoliki,katika majimbo yote katoliki 34, maaskofu wachaga pekee ni 11