Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Mwenyewe nimecheka sana

Haswa hapo kwenye nyimbo za night club [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ukiangalia ni kweli kabisa, tujifunze kutokupiga kelele, japo muda mwingine hua ni matani tu ya humu na kuchangamsha jamvi
 
Umeshindaaaa...
Nimekutangaza kuanzia leo. Wewe ni mshindi katika wengi
 
Mwenyewe nimecheka sana

Haswa hapo kwenye nyimbo za night club [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ukiangalia ni kweli kabisa, tujifunze kutokupiga kelele, japo muda mwingine hua ni matani tu ya humu na kuchangamsha jamvi
Siku izi hata simu yangu hupokei wewe binti wa kiarusha na kichagga
 
Mwenyewe nimecheka sana

Haswa hapo kwenye nyimbo za night club [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ukiangalia ni kweli kabisa, tujifunze kutokupiga kelele, japo muda mwingine hua ni matani tu ya humu na kuchangamsha jamvi
Yaani huyu dada ni comedian jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Yale mahaba yetu ya matani humu yanajulikana,,hayo hayana shida.....
Hata mimi ninayo humu na huwa napenda sana kuyaongea kuchangamsha jukwaa.

Shida ni yaleee ya siriazi kwrlikweli kuyaanika kila kituu humu.
 
[emoji23][emoji23]huo sasa unakua ni utoto, mahaba yenu fanyianeni wenyewe msitutingishe humu jamani
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…