Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mwenyewe nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ufala[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yapigwe jua
Yanapangwa kama nyimbo za night club[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Haki nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi siku nikitangazwa mshindi ndio nitayaanika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787]
Sasahivi wacha yakerekete kooni
Ila Kweli privacy ni muhimu .
Kuna watu hawana privacy kabisa,kila kitu kinachofanywa anakianika ,,vingine ni vya wawili tu.. siyo lazima tushirikishwe wote kuona.
Haswa hapo kwenye nyimbo za night club [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukiangalia ni kweli kabisa, tujifunze kutokupiga kelele, japo muda mwingine hua ni matani tu ya humu na kuchangamsha jamvi