Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Wee unataka upewe mwongozo Mara ngapi??mbona watu washakumezesha hadi notes jamani!!
Dah si unajua hao ni kama blogu fulani zinazo julikana.

Sasa nimebahatika kupata mhusika hapo nitapata kitu.
 
Tujifunze maana sisi wanawake ndo tuko na uphaller mwingi sana wa kuyaanika mahusiano hadharani ili yapigwe na jua😏😏

Wanaume wao habari hawapati wanakuzoom tu 😁kumbe nyuma kuna wanawake wenzio kama mia hivi wanapangwa kama nyimbo za night club🤣🤣

Tujifunzage kunyamaza mpka pale mshindi atakapotangazwa kanisani au msikitini✌🏿
😂 😂 😂

Eti Laazizi wangu Bufa na wewe ndiyo umenipanga hivyo kama nyimbo za night club..??
 
Mahondaw ni Bibi kizee kijeba fulani hivi kiboyaaa kishambaaa afu chakuja tu !!
Hivyo hivyo hata kama ni kijeba mimi nataka nikifanikiwa kuuza kibanda cha ukoo pale kariakoo mgao wangu nitumie na mahondaw
 
Back
Top Bottom