Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Itoshe kusema hii nchi ni ngumu sana.

Pia vitu vingi mtandaoni/social media ni feki
Napingana na wewe tena kwa herufi kubwa.
Mahondaw na smart wamedumu kwa zaidi ya miaka 3.

Wakati juzi jirani yangu ameoa binti walie Kutana kanisani hadi wakafunga ndoa.
Huwezi amini hata mwaka hawajamaliza wameachana.
 
Story yako inatufundisha nini?
 
Dah kweli watu mnashindwa kunitag kwenye mambo adimu kama haya?

Kama wameachana sio shida sana tulijua since kitambo, nimebaki single Mimi mwana wa nyange sijui nikamroge mtoto wa mtu anipende?
 
Back
Top Bottom