Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Sio Mimi aisee if I move sigeuki!!!!
Unachosema nikweli Ila inategemea na mwanamke/mwanaume kujisimamia! Maybe Una some extra factors ambazo waliko hawazipati but mtu Kama huna sababu no way back aisee!!!
Orelse mliachana still mtu anakua anakupenda Ila Hana namna kupata wa kumpoza maumivu matokeo yake ndohayo!
Ongezea na kukunwa vizuri
 
Thread mod wamezilock[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haha mahusiano itakuwa yalishia pabaya[emoji1787][emoji1787]Sana

Katika maisha yangu nimejifunza kitu kimoja kina nguvu Sana Sana Sana ni kwamba "don't reveal everything u know or u feel in the public ,you will attract negative energy"

Trust me negative energy is there to ruin your plans your future and everything [emoji2957]

Na "silence uplift your power,respect and wisdom"
Mi nilishtukiaga na nikawa nawaambia mtajatosana.
Wazoefu wa izi kazi tulishaona dalili.
 
Mbona waliachana kitambo baada ya fumanizi mkuu?
Smart alikuwa anamwaga hela kwa Mahonda kama njugu, kumbe bibie anaruka vijoti nje. hukuona mpaka uzi ulianzishwa hapa?
Mie nilipitwa mbona jomoneeeh lol.
 
Hujasoma bibiye aliweka uzi wake hapa kwamba yeye ni mama wa watoto wawili na ni mke wa mjeda...

Unless kama unataka tumlengeshe mjeda kwamba Dead Man ndio Smart aje akufumue medula oblongata...
Uzi huo uko wapi? Nilipitwa mie lol.
 
Back
Top Bottom