Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Nahisi jamaa alikua mhongaji mzuri na alikua baharia.
Thread mod wamezilock[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haha mahusiano itakuwa yalishia pabaya[emoji1787][emoji1787]Sana

Katika maisha yangu nimejifunza kitu kimoja kina nguvu Sana Sana Sana ni kwamba "don't reveal everything u know or u feel in the public ,you will attract negative energy"

Trust me negative energy is there to ruin your plans your future and everything [emoji2957]

Na "silence uplift your power,respect and wisdom"
 
Kisa kuchungulia last seen ya Smart911 na viewing yake ameamua kufunga.
Hivyo amelimit kisa nyinyi watu.

All in all Smart911 nakuhekenyea salute wewe ni mtu mmoja poa sana sijawahi kuona.

Kuhusu huu uzi tunajaribu kurejesha wambea ili kumsahau ndugu yetu warumi

Karibu sana smart walau acha hata comment tu kuonyesha upo pamoja nasi tunakuomba uje utupe mwongozo.
 
Back
Top Bottom