Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafeli wapi?Kwahiyo mimi ndio sina humu ama
Fanya mambo nawe uwe double humuHadi nashangaa kila member na wake najikuta mimi nipo single
Watu wanachana mikeka humu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]wewe hebu ukatupie picha kule, mekumiss
Ninyi nanyi mtaachana tu[emoji1787]Watu wanachana mikeka humu[emoji38][emoji38][emoji38]
Nahofia wangu usije chanika na babe wangu Jack Palladino .
Selfika nakuja na utitiri wa picha..
Hatuachani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninyi nanyi mtaachana tu[emoji1787]
Ehee ndo uphaller wenyewe huo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ufala[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yapigwe jua
Yanapangwa kama nyimbo za night club[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Haki nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi siku nikitangazwa mshindi ndio nitayaanika mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787]
Sasahivi wacha yakerekete kooni
Ila Kweli privacy ni muhimu .
Kuna watu hawana privacy kabisa,kila kitu kinachofanywa anakianika ,,vingine ni vya wawili tu.. siyo lazima tushirikishwe wote kuona.
[emoji23][emoji23][emoji23]kamati ya roho mbaya ipo kazini muda woteHatuachani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi tupeleke mambo haraka shetani asipate upenyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]Ehee ndo uphaller wenyewe huo..
Mtakatifu najua bado hajaanza kwenda night club kuruka majoka [emoji16]
Sasa vile dj anavyochanganya disc Ohoo mara “shang’hashang’hashang’ha[emoji445][emoji445]vuvaaa[emoji16]utapenda.
Kimbembe kinakuja kuhama kwenye
Kuja hapa sasa
Mapenzi ni ya kikuda sana aiseh [emoji16][emoji16][emoji16]
Tena ya humu jf ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]kamati ya roho mbaya ipo kazini muda wote
😳Kila member??chief rekebisha mwandikoHadi nashangaa kila member na wake najikuta mimi nipo single
Watu wabaya watawasakama weee mpaka [emoji28]Tena ya humu jf ni hatari
Yaani watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji23]Watu wabaya watawasakama weee mpaka [emoji28]
Ila all in all ifike mahali tukue
We mtakatifu wacha masengenyo hebu twende tukaselfike kule[emoji23]
Haya mambo yanasikitisha ila yanachekesha tena
Ila kaka wa watu bora mkeka umechanika TU,,,kuwekeza kote afu kumbe alichukuliwa kama mchepuko[emoji1751]
Simjui smart lakini inaonekana ni mkaka mmoja mstaarabu mno😊😊.[emoji23]
Haya mambo yanasikitisha ila yanachekesha tena
Ila kaka wa watu bora mkeka umechanika TU,,,kuwekeza kote afu kumbe alichukuliwa kama mchepuko[emoji1751]
Wabishi wa nini kushTatizo watu ni wabishi
[emoji86]
Ni kauli ambayo alipenda kuitumia jamaa.Wabishi wa nini kush