Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.

Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Lissu amezidiwa tu na hoja na mazingira. Mpango wa huyu kibaraka na mhusudu wazungu ni kuishi moja kwa moja ughaibuni.

Kama unamfuatilia vizuri tayari watoto wake ni raia wa marekani. Nahisi hata mkewe atakua amechukua uraia wa kigeni.

Mpamgo wake ni kujenga maisha ughaibuni akijidai nchini ni udikteta mtupu na hakuna haki za binadamu. Na sasa kadaka issue ya haki za mashoga. Ameshapanga namna ya kujipatia kipato na kuishi maisha ya kuhifadhiwa na kufadhiliwa.

Huu mpango wa maelewano na mama aliyoongoza mbowe hakika unamvuruga sana mpango wake. Lema naye anachanganyikiwa kwa msingi kama wa lissu. Wote hawa siasa ni mchezo au kazi kujipatia maisha.

Huyu mbowe ndio maana wenzake wanadai kalamba kitu kwa mama kwa hivyo anawaharibia.

Binafsi nategemea lissu baadae kurudi ughaibuni baada ya kukiwasha akisha ona hakuna manufaa kwake binafsi. Atasingizia chochote kama vile alishasema mama ni magufuli wa kike.
 
Hata kama wewe ndio ungekua mkewe, kwa picha ile ya mahaba aliopiga Airport akiwa na yule mama wa kibelgiji, nina hakika usingeenda kumpokea. Usaliti unaanza katika ngazi ya chini ya familia, mtu kama huyu ukimpa mamlaka hachelewi kutuuza
Sasa tufanyeje? Maana mmetuletea taarifa humu. Hapa nyumbani ndoa mia tatu kwa mwezi zinafunjika, tena kwa talaka mahakamani! Bado unashangaa tu!?
 
Hata kama wewe ndio ungekua mkewe, kwa picha ile ya mahaba aliopiga Airport akiwa na yule mama wa kibelgiji, nina hakika usingeenda kumpokea. Usaliti unaanza katika ngazi ya chini ya familia, mtu kama huyu ukimpa mamlaka hachelewi kutuuza
Unaweza kukuta hapo ulipo uko kwa mchepuko... Hii nchi kuna Vigogo wamezaa mpaka na wake/waume za watu, Vigogo tena wenye ndoa zao lakini wana michepuko kibao..
 
Back
Top Bottom