😂 😂 😂 Nae ni askari huyo.Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera..
Kwani amelazimishwa kwenda pale?Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera..
Tetesi: huko juu, Uzanzibari unaleta shida!Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera..
View attachment 2350164
Ànawaza time ya uchaguzi ya KenyaLabda kuna mambo yake hayaendi kama alivyokusudia.
Hii nimesikia aisee imekuwa keroTetesi: huko juu, Uzanzibari unaleta shida!
Hivi Kuna Watu wanaangalia TBC??Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.
View attachment 2350179
Maji yamekorogeka.Tetesi: huko juu, Uzanzibari unaleta shida!
Hili jibu nimeishia kucheka tu WallahHakuna hata mmoja mkuu