Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
Kubwa la majambazi la ccm lililobaki.
 
tozo iendeleee kwa maendeleo yetu.
wanao bweka....wabwekeee lakini lazima tozo walipe.
 
Back
Top Bottom