Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Kwa vile sio waalikwa kenya kwenye uapisho wa Ruto.
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
hahahh kachanganyikiwa na tozo mama anaupiga mwingi
 
Sura ya kizee tu!wazee wengi wanapenda kuvuta midomo,nimemuona kwenye hiyo hafla anachekacheka tu pembeni y a Tulia Mwansasu
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
Ni UZEE TU HUO
 
Ngoja tuisubili kamati kuu imalize kikao.... tutazijua mbivu na mbichi.
 
Povu lote hili ni kisa tu naitazama TBC? Mkuu hatuwezi kukichukia chombo chetu cha habari za kiserikali.

Siwezi kuchukia ww kulishwa taarifa za kupikwa maana huo ni uhuru wako.
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
Labda remote haikuwekwa beterii
 
Nimeshangaa sana kuona bado unaangalia TBC we uko duniani kweli mkuu au upo kuzimu unakula bata
 
Back
Top Bottom