Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k

Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.

Huenda tunajiuliza kwa nn tupo hapa, kwa nn hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye serikali yetu tukufu.

Kwa nini sio madaktari? Kwa nn sio manesi? Kwa nn sio wahasibu? Kwa nini sio wahandisi? Kwa nini sio madereva? Kwa nini sio wanasheria? Kwa nini sio Askari? Kwa nini ni nyie tu?

TATIZO NINI?
Maafisa utumishi/ utawala.Halafu hivi kwanini hawaguswi? Hata lile sakata la watumishi hewa,kada hii ndio wakosefu namba moja lakini hawajafanywa lolote,hata kutwajwa
 
Wako designed that way kupitia huko vyuoni. Kwa sababu nature yao lazima wawe wengi,ni ngumu kwa nchi masikini kuwapa maslahi mazuri. Option nzuri ni kuwadunisha kisaikolojia kupitia training na practice. Hii ni mbaya kwa mtu lakini ni nzuri sana kimedani..mimi ni mmoja wao kwa hiyo nina experience nzuri! Narudi kwako mkuu,ova!
 
Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k

Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.

Huenda tunajiuliza kwa nn tupo hapa, kwa nn hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye serikali yetu tukufu.

Kwa nini sio madaktari? Kwa nn sio manesi? Kwa nn sio wahasibu? Kwa nini sio wahandisi? Kwa nini sio madereva? Kwa nini sio wanasheria? Kwa nini sio Askari? Kwa nini ni nyie tu?

TATIZO NINI?
Jiulize umezaliwa hivyo au una tatizo gani ??!!
 
Maafisa utumishi/ utawala.Halafu hivi kwanini hawaguswi? Hata lile sakata la watumishi hewa,kada hii ndio wakosefu namba moja lakini hawajafanywa lolote,hata kutwajwa
Maafisa utumishi wana akili sana, huwezi kulinganisha na hilo kundi nalosema. Hakuna afisaa utumishi juha, wote wajanja
 
Back
Top Bottom