Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Itakua walimu hao..nasikia wanazurura zurura karibu na nmb atm wakisubiri sms ya nmb mobile.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio hao nilisoma hapa walisikia wakilia lia kwenye usahili wa sensa baada ya DC kusema watumishi wasiache majukumu yao ya msingi na kwenda kwenye usahili? Wengine "mkuu tusaidie tuwe wa kwanza kwenye usahili kwasababu wengine tunaenda kusimamia mitihani ya mock"
 
Wat
Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k

Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.

Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.

Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?




War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
Watumishi wa umma wa Tanzania. Ni mundi la watu wasiojielewa. Waoga na wenye akili ndogo sana.
Watu hawa wametengenezwa kujiona wao ndiyo serikali.
Kuwataja walimu peke yao ni kuwaonea
Magufuli hajaongeza mishahara na stahiki kwa miaka 5 kuna kundi au kada yeyote ilihoji??
Mbona ndiyo kwanza waliandamana kuunga mkono kikokotooo?
 
Back
Top Bottom