Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Kwani yeye halipi kodi? We humchangii ndo maana kwenye kuajiri huhusiki, alichosomea ndo kinamlipa siyo kikodi chako.Simchangii chochote? Mshahara anaolipwa kodi zinatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye halipi kodi? We humchangii ndo maana kwenye kuajiri huhusiki, alichosomea ndo kinamlipa siyo kikodi chako.Simchangii chochote? Mshahara anaolipwa kodi zinatoka wapi?
Halafu unaweza kuta jamaa kama huyu hana hatia kazi anaishi kwa sehemu yake 😇Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k
Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.
Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.
Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?
War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
Hizi ndio akili zenu, Wala hamjifichiMkuu umesema sahihi kabisa.
Halafu huyu anatakiwa na mama yake pia tumfire ndo atajua walimu tupo vizuri.
Siyo ukuda ila akili yako ndio ilitafsiri kikuda. Ulivyoacha ukaenda wapi na sasa uko hatua gani kuelekea maisha mazuri ya kipeponi?Nilikuwa mwalimu pale mawe matatu Misungwi, nikaona ualimu ni ukuda, nikaacha.
Kwa sababu akili zako pia hazijifichi. Unataka kila mtu awe daktari, nesi ama askari? Kama ndoto zako hazikutimia si kosa la mwalimu ni wewe na akili zakoHizi ndio akili zenu, Wala hamjifichi
We ndio una akili?Wat
Watumishi wa umma wa Tanzania. Ni mundi la watu wasiojielewa. Waoga na wenye akili ndogo sana.
Watu hawa wametengenezwa kujiona wao ndiyo serikali.
Kuwataja walimu peke yao ni kuwaonea
Magufuli hajaongeza mishahara na stahiki kwa miaka 5 kuna kundi au kada yeyote ilihoji??
Mbona ndiyo kwanza waliandamana kuunga mkono kikokotooo?
😂😂😂😂Impacts za kuingiliwa kinyume na maumbile na mwalimu asiyekuwa na maadili ya kiualimu ndo hii. Walimu wote washakuwa maadui zako wakati alokutendea ni mmoja tu.
Tuchukue huo huo mtihani tukupe wewe usiye mwl. ila unazo akili ushindane naye. Mwalimu ni msaidizi ama mfumbuaji kwa mtoto so usitake naye arudi shuleni apige 100 kama ya mtoto. We daktari wa sasa biology uliwazidi wote kwenye ufaulu?Walimu akili zao tu huwaga ni ndogo pia, mm naamini tukichukua mwanafunzi anaeshika nafasi ya kwanza kwenye somo lolote lile tukampambanisha na mwalimu wake wa somo husika wafanye mtihani wa hilo somo basi Kuna chance kubwa ya mwanafunzi kupata maksi kubwa kuliko mwalimu wa hilo somo. Walimu wengi ni vilaza watupu kichwani ndio maana japo elimu yetu na masomo tunayosoma ni mepesi in nature but wanafunzi wengi wanafeli kwasababu tunafundishwa na vilaza waliofeli. Nenda India ukaone elimu yao ilivyo, mtihani Lisaa limoja na nusu hayo maswali yote ni cheche nakwabongo hutoboi hata swali moja. Sisi masomo yetu ni rahisi sanaaa hata physics ya advance uwezekano wa mtoto wa darasa la tatu kuimudu upo kama tu walimu wataanza kufanyiwa interview kwa wale waliofaulu tu
Kudeal na mm mpaka mpate akiliTutamnyoosha tu. Ukiamua kudharau utadharaulika tu sa huyu ni kudeal nae kisawasawa.
Huwa nikiona comment yako naishiwa nguvu kabisa. Wewe haupo, wewe nakupenda hadi basi. Shida Kuna uzi wamenitukana sana, hivyo lazima nipambane nao. Naomba univumilie niwanyooshe hawaAfu kwanini mnaumia na mambo yetu wakati sisi hatuumii na mambo yenu.Kama Nyie ni Bora kwanini msitulie na ubora wenu.Msitafute dhambi kinguvu ....haijakaa njema kabisa
Unafaa kuigwa na kila mwalimu. Mi kuna mwl mmoja namfahu sana kipindi niko Nansio anaitwa Ndija, yule kwa pesa watu wakasome kiasi kwamba alivyowekeza pale nansio si vya kitoto.Usidharau Kazi ya mtu kwa kua yako haisaidii,sio Kila mwl Ana upeo mdogo bwana mdogo au sio Kila mwl masikini au jana Pesa ,kazi yoyotemo vile we imavojiheshimisha nayo ,kuipenda na kuithamini.
Kuna watu Wana upeo mdogo wako huko taasisi zingine kwa kubebwa tu Ila hawana wanalolijua.
What I can tell you is jus learn to respect people ,haojalishit wewe uko kada gani ,unapokea mshahara kiasi gani!Kila mtu na maisha yake na anavoishi.
Shida ya walimu haswa Grade A ni uoga mnoo na kujiona wao wanyonge hapo ndo wanafeli,walimu wengi wa Secondary hawayumbishwi na Wana misimamo,nadhani elimu pia inachangia mti kujiamini
Mi nilishasemaga nna shida na Pesa Ila sitapoteza muda kuomba Kaz za kimbwa kimbwa Kama sensa,sijui kusimamia uchaguzi nikifika 35yrs ndo Niko hukoo,wananishangaa Sana na kujiona najidai Ila I have decided to respect, value and love myself before anyone...Kama walimu wote tungekua na msimamo Mmoja tungeheshimu Sana ,shida ni Hawa Grade A ndo waoga mnoo na wanapelekeshwa Sana..
Mwalimu acha makasiriko.Mpeleke mwanao polisi, ama Kwa maafisa kilimo au kada ya afya ndani ya Mwaka mmoja tuone kama atakuwa amejua kusoma na kuandika, unapost mada hapa kama umesahau akili chooni!
Kama hizi za kwako. Hapa tunaongea na kopo tu.Kudeal na mm mpaka mpate akili
Usinge comment huu uzi ninge acha kutumia jf.[emoji28]Walimu akili zao tu huwaga ni ndogo pia, mm naamini tukichukua mwanafunzi anaeshika nafasi ya kwanza kwenye somo lolote lile tukampambanisha na mwalimu wake wa somo husika wafanye mtihani wa hilo somo basi Kuna chance kubwa ya mwanafunzi kupata maksi kubwa kuliko mwalimu wa hilo somo. Walimu wengi ni vilaza watupu kichwani ndio maana japo elimu yetu na masomo tunayosoma ni mepesi in nature but wanafunzi wengi wanafeli kwasababu tunafundishwa na vilaza waliofeli. Nenda India ukaone elimu yao ilivyo, mtihani Lisaa limoja na nusu hayo maswali yote ni cheche nakwabongo hutoboi hata swali moja. Sisi masomo yetu ni rahisi sanaaa hata physics ya advance uwezekano wa mtoto wa darasa la tatu kuimudu upo kama tu walimu wataanza kufanyiwa interview kwa wale waliofaulu tu
Hapa hujata walimu kijana inaelekea baba yako ambaye ni Mwalimu baada ya kupigilia msumari wa nchi sita kunako....halafu akamkacha maza ako so baada ya kukua ikabidi maza ako akwambie kuwa ww ni product ya Mwalimu lakin kwa bahati nzuri Mwalimu akakukataa ungali na miezi 2 so hasira yako yote kwa walimu cool kijana maisha hayapo fair.Hao wote uliowataja wana akili sana. Huwezi linganisha na kundi la walimu
Hahaa! Kumbe ni hasira za kutukanwa na kuambiwa kuwa wewe ni day worker wa ukondakta kwenye daladala.Huwa nikiona comment yako naishiwa nguvu kabisa. Wewe haupo, wewe nakupenda hadi basi. Shida Kuna uzi wamenitukana sana, hivyo lazima nipambane nao. Naomba univumilie niwanyooshe hawa
Nakupenda sana, nisamehe kwa muda nimalizane na hawa wajinga