Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Ha
Hao wahasibu sijui madaktari sijui police sijui mawaziri walifundishwa na kina nani ili ujue wewe ndiye mwenye IQ tudogo.?Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k
Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.
Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.
Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?
War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa