Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Napigia msumari.
Walimu wanahitaji maombi.
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpiga mteja wake?
Mwalimu ndiye mfanyabiashara pekee anayemdunda mteja wake
😀 😀 😀 😀ila hii nchi aisee
 
Hapa hujata walimu kijana inaelekea baba yako ambaye ni Mwalimu baada ya kupigilia msumari wa nchi sita kunako....halafu akamkacha maza ako so baada ya kukua ikabidi maza ako akwambie kuwa ww ni product ya Mwalimu lakin kwa bahati nzuri Mwalimu akakukataa ungali na miezi 2 so hasira yako yote kwa walimu cool kijana maisha hayapo fair.
Hamna akili, kila mtu anawasema nyie. Badilikeni
 
Pole Sana.Naona jinsi gani ulivokuwa na chuki dhidi ya walimu Hadi ulichokiandika hakieleweki.Tulia,Acha walimu wafanye Yao na wewe mwenye IQ kubwa ufanye yako.
Wamemkosesha kazi ya ukarani wa sensa. Maisha ni magumu sana. Tuvumilianeni tu maana hakuna namna!

Badala ya kuelekeza chuki kwenye kiini cha tatizo yeye anashambulia walimu. Majitu huko juu yanapiga trillions hayafanywi kitu lakini masikini huku wanachukiana kisa shilingi elfu ishirini kwa siku...

Mahela yanayopigwa na mafisadi huko yangetumika vyema yangeweza kuinua hali ya maisha ya watu wetu na kuondoa hizi chuki za kimasikini!

Inahuzunisha sana!
 
Mwalimu wako aliekufundisha hadi hapo ulipofikia najua tu huwezi kusema mbele yake ndiyo maana umetaja kiuwoga woga, pili hukusema kwanini ni janga umetaja taja tu kada bila kutoa sababu ni zipi ili ionekane ni janga.
Wewe huoni kama ni janga?
 
Tatizo limeanzia mbali sana. Ilifika mahali ikawa ni taaluma yenye kudharaulika sana kwa sababu za msingi kabisa. Anzia wakati wa UPE hadi kufikia kuchukua wale form four failures kwenda ualimu. Mtu akikosa vyote akiwa na Division 4 inayokaribia zero, ndiyo alienda ualimu. Huo ndiyo ukweli mchungu.
Sasa tutegemee kutoka watu wa aina hiyo?

At least siku hizi wameliona na wanataka kuchukua the best students. Lakini nani aende kwenye uozo huo? Inahitaji akili ya ziada kuwavuta vijana wenye Div 1 na 2 kwenda huko.
Inabidi ifanyike hivyo haraka sana. Na pia waliopo kazini nao wafanyiwe interview
 
unaweza kumchukia mwalimu aliyekushika mkono ili uweze angalau kuweza kuandika "a"? We una laan siyo bure. Wana IQ ndogo? We unajua hata maana ya IQ? Tuambie maana ya IQ na IQ kubwa inaanza ngapi mpk ngapi, IQ ya kati na ya mwisho. Tupe na mifano ya wenye IQ kubwa duniani.
Ww hata hiyo IQ ndogo tu huna. 0 kabisa
 
Kiufupi kila kada kuna mazezeta na walio vzr. Mf. Dr. anayesahau mkasi ndani ya tumbo ama kupasua kichwa badala ya mguu, ama kufanya utabibu wake mgonjwa anakufa. Injinia aliyeshindwa kusoma enzi za mkuu yule wa tabora, mainjinia kibao wanaotumbuliwa kwa ubovu wa kazi rejea wa juzi huko zanzibar. Kila sehem mafailure yapo. Unakuta mtu sa hivi ni nesi nae anavimba kichwa wakati darasani mimi ambaye ni mwalimu sa hivi ndo nilikuwa nampga tafu enzi tunasoma wte.
Mazezeta wapo kwenye ualimu
 
Mi sina shida na walimu ila wamejisahau sana ikifika meimosi huwa wanaamini ile ni siku special kwaajili yao tu na siyo watu wengine, na kwenye mbio za mwenge wanashona sare za vitenge
 
We una shida haijawahi tokea, baba wa Taifa alikuwa mwalimu, mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Magufuli alikuwa mwalimu, Waziri mkuu tuliye naye sahivi alikuwa mwalimu. Bado unasema walimu wana IQ ndogo? We kama siyo kichaa zimebaki siku chache sana uwe kichaa. Chukua hatu katibiwe
Unahisi kwa nini hao uliowataja waliacha ualimu?
 
Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k

Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.

Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.

Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?




War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
Una mimba changa itakuwa inakusumbua wewe. Siyo bure. Hapo ulipo utakuwa unajisikia tu kichefu chefu na malimao yako.
 
Back
Top Bottom