Usidharau Kazi ya mtu kwa kua yako haisaidii,sio Kila mwl Ana upeo mdogo bwana mdogo au sio Kila mwl masikini au jana Pesa ,kazi yoyotemo vile we imavojiheshimisha nayo ,kuipenda na kuithamini.
Kuna watu Wana upeo mdogo wako huko taasisi zingine kwa kubebwa tu Ila hawana wanalolijua.
What I can tell you is jus learn to respect people ,haojalishit wewe uko kada gani ,unapokea mshahara kiasi gani!Kila mtu na maisha yake na anavoishi.
Shida ya walimu haswa Grade A ni uoga mnoo na kujiona wao wanyonge hapo ndo wanafeli,walimu wengi wa Secondary hawayumbishwi na Wana misimamo,nadhani elimu pia inachangia mti kujiamini
Mi nilishasemaga nna shida na Pesa Ila sitapoteza muda kuomba Kaz za kimbwa kimbwa Kama sensa,sijui kusimamia uchaguzi nikifika 35yrs ndo Niko hukoo,wananishangaa Sana na kujiona najidai Ila I have decided to respect, value and love myself before anyone...Kama walimu wote tungekua na msimamo Mmoja tungeheshimu Sana ,shida ni Hawa Grade A ndo waoga mnoo na wanapelekeshwa Sana..