Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mbona nilishakuambia nafundisha huku Kwedikwazu Tanga. Nafundisha darasa la 2 C.Tate nimegundua kitu.
Kumbe wewe ni mwalimu wa shule ya msingi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nilishakuambia nafundisha huku Kwedikwazu Tanga. Nafundisha darasa la 2 C.Tate nimegundua kitu.
Kumbe wewe ni mwalimu wa shule ya msingi!
ninyi hata kufikiriwa hamtakiwi kufikiriwa. hampo kwenye kundi lolote.Naona umeorodhesha wote kumbe sisi Wamachinga upeo wetu ni mkubwa kidogo,Ahsante.
Mbona Mkapa na Kikwete hawakuwa walimu! Walileta maajabu gani, zaidi tu ya kupiga mnada raslimali za Taifa kwa Mabeberu na Makaburu!ukweli ni kwamba, hii nchi ingeongozwa na kada zingine tangu awali, tusingekuwa hapa. lakini tushukuru kwa tulichopata kwasababu kila jambo lina faida na hasara.
Kwa hiyo wewe una akili, huku ukiwa umefundishwa na watu wasio na akili.Uzuri watu wengi wamekiri kuwa hamna akili
Si muibe chaki?Kwa sababu kazi zao zina mianya ya upigaji huko huko kazini kwao. Hakuna mfanyakazi Tanzania hii anayeishi kwa kutegemea mshahara wake tu bila kupiga hapa na pale isipokuwa pengine walimu. Sasa wanapoona vifursa kama hivi vya sensa wapate angalau kitu kidogo napo kumbe wanakosea masikini.
Wapi nimezungumzia maslahi? Mbona walinzi Wana maslahi madogo lakini Wana akili?Moderators kwa nini mnaacha mada za aina hii katika forrum hii? Ni kweli kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni lakini mtoa mada anadhalilisha walimu.
Hii mada Ina kipi cha maana mpk iachwe hapa?
Kilichomsukuma mtoa mada kuleta mada hii ni sababu walimu hawana maslahi makubwa kama kada nyingine.
Angalau basi angeleta suluhisho lakini ni kukebehi taaluma za watu tu.
Je wakisakamwa namna hii morali ya kazi itakuwepo?
Tuangalie sana sana tunatengeneza tatizo kubwa sana kisaikolojia kwa watu wetu hawa muhimu kwa taifa.
Hiki anachokisema mtoa mada sio kweli haiwezekani walimu wote Tanzania wawe wa aina moja kama ambavyo kada nyingine pia hawafanani.
Toeni huu Uzi vinginevyo mnasupport yanayosemwa hapa.
Isije ikawa ulimposa mwalimu akakukataa au akakuacha solemba. Dunia nzima hakuna mtu ambaye hajapitia darasani hata wale home schooling wazazi wao ndo walimu wao hivyo kama unaona walimu wote vilaza usidhubutu kupeleka watoto wako shuleni fanya mmeo/mkeo awe mwalimu aache kazi. Point.Hao wote uliowataja wana akili sana. Huwezi linganisha na kundi la walimu
Wana akili kwa kiasi gani ukilinganisha na walimu ambao hawana akili kiasi gani?Wapi nimezungumzia maslahi? Mbona walinzi Wana maslahi madogo lakini Wana akili?
Halafu wewe hueleweki kwangu umelike na Kwa Tate umelike....chagua upandeTate nimegundua kitu.
Kumbe wewe ni mwalimu wa shule ya msingi!
Tatizo limeanzia hapa... Walimu nawaonea huruma sana jinsi wanavyoshambuliwa... Sijui Nyerere naye alikuwa nani kabla ya kuwa rais... Sometime nataka kucheka ila muda mwingine machozi yananilenga machoni..Chuki zote za vijana na matusi kwa walimu ni kwasababu ya kazi ya sensa.
Ninachofurahi ni kwamba haujafoji vyeti vya fom foo.Mbona nilishakuambia nafundisha huku Kwedikwazu Tanga. Nafundisha darasa la 2 C.
🤣🤣🤣🤣 hawezi kukujibuKabla ya kusubiri comments za wadau, je, wewe mwenyewe umeelewa ulichokiandika?
Mimi sinaga upande, nipo kotekote kama popo. [emoji1787][emoji1787]Halafu wewe hueleweki kwangu umelike na Kwa Tate umelike....chagua upande
Mimi kwa sasa ni mjasiriamali tu wa kawaida. Ila siwezi kukataa! Once upon the time, niliwahi kuajiriwa kama mtumishi wa umma. Niliamua mwenyewe kwa hiyari yangu kuingia mtaani kupambana. Vyeti vyangu vyote ni OG! Nimevihifadhi kabatini kwa ajili ya ukumbusho hapo baadaye.Ninachofurahi ni kwamba haujafoji vyeti vya fom foo.
Underlined!People with mega projects/busy with their business wont spend their time arguing with brainless morons like this guy.
Umenikera sana wewe Mamy K . Nilivyo na mapenzi binafsi na wanawake wote wa JF, wewe kwa makusudi kabisa ukachagua kunikwaza.Halafu wewe hueleweki kwangu umelike na Kwa Tate umelike....chagua upande