Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #221
Hamna akiliAcha dharau wewe Tuliza shobo dundo mbona una pigo za kiwaki
Wewe unachowashwa Ni Nini ili ukunwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna akiliAcha dharau wewe Tuliza shobo dundo mbona una pigo za kiwaki
Wewe unachowashwa Ni Nini ili ukunwe
Umesema walimu ni janga and yet wanaofundishwa na hao walimu wana IQ kubwa..!! Tafakari na uchukue hatuaKwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k
Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.
Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.
Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?
War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
Umejawa ujinga mwingi.Leo naungana na wewe. Hilo kundi limejaa watu wenye roho mbaya sana, sana... sijui Kwa sababu wengi wanatokea familia masikini.
Case study ni mwendazake kiongozi wa malaika, naye alitokea kundi Hilo.
Sasa wewe kwanini ulikubali kubeba mimba ya mtumishi wa hiyo kada unayoilalamikia wakati unaamini kuwa watumishi wa kada hiyo hawana akili?Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k
Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.
Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.
Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?
War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
UVCCM wamelamba hizi kazi yeye huku kakomaa na walimu...Jobless baada kukosa sensa ana waandama walimu
Mama yako tunamfundisha na anaelewa,wewe na wenzako wachache vilazaHuna uwezo wa kufundisha Feza
Na Mimi baadhi ya walimu wananikera Kama wewe ulivyokereka, shida hawaijui thamani Yao, we mtu huwezi kuwa unaburuzwa Hadi na wajumbe wa CCM....upo tu Kama sio professional....hujipendi, usupojijali hakuna WA kukujali.Umenikera sana wewe Mamy K . Nilivyo na mapenzi binafsi na wanawake wote wa JF, wewe kwa makusudi kabisa ukachagua kunikwaza.
Walimu ni zaidi ya wazazi! Tunatakiwa tuwaheshimu, no matter what. Wewe mwenyewe hapo ni mwalimu kwa watoto wako!
Wakikudharau utajisikiaje?
Una umri gani?Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k
Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.
Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.
Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?
War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
Tuseme ukweli serikali ndiyo imeanza kuwadharau Kwa maslahi madogo, imejitahidi kuwanyanyasa na kuwagombanisha na jamii.Mimi kwa sasa ni mjasiriamali tu wa kawaida. Ila siwezi kukataa! Once upon the time, niliwahi kuajiriwa kama mtumishi wa umma. Niliamua mwenyewe kwa hiyari yangu kuingia mtaani kupambana. Vyeti vyangu vyote ni OG! Nimevihifadhi kabatini kwa ajili ya ukumbusho hapo baadaye.
Sema tu sipendi kuona watu wanawadharau watu ambao hawawasaidii chochote. Walimu wanapambana na maisha yao. Hawajamlilia shida mtu yeyote yule! Iweje utoke from nowhere tu uwadharau?
Kila eneo lenye mwanadamu nchi hii lazima mwalimu apelekwe haijalishi ni chaka kiasi gani,anafanya kazi bila posho yeyote tofauti na mshahara,hana semina za kutosha wala motisha akiwa kazini,kila mwenye kacheo serikalini hata awe diwani jicho kwa mwalimu.Akishastaafu anatoka huko kijijini ambako hapakuwa na watumishi wengine zaidi yake anahamia mjini,Mtu wa hivi kwanini asipate tabu?Mleta mada umeleta uzi ambao nachangia huku roho inauma. Kiukweli karibu familia nyingi za kitanzania huwa kunakuwa na mwalimu. Hawa watu ni muhimu sana ila ni wachache ambao hushtuka na kwenda sawa na dunia inavyoenda hasa kiuchumi. Rekodi nyingi za TAKUKURU inaonyesha waalimu ni wahanga wakubwa wa utapeli na matukio yanayofanania utapeli. Wastaafu wengi wa ualimu wamekuwa wakidhulumiwa kirahisi. Huwa najiuliza huko vyuoni kunakuwaga na mafunzo tofauti? Mbona wote tulipita form six salama na kuingia vyuoni kwa alama za kutosha sasa inakuwaje huku mtaani ghafla mwalimu anakuwa nyuma?
Inabidi semina nyingi sana za ujasiriamali na maisha kwa ujumla zitolewe kwa waalimu ili nao wachangamke.
WAHALIMUUU!!!Taja tukutukane mpaka tule bani
Daah mkuu [emoji16][emoji16][emoji16] hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2300052
Hao wote uliowaorodhesha hapo wamepatikana kutoka kwa huyo mwalimu unayemtukana,nadhani na hiyo ndio sababu yao kuu ya kuwa walalamikaji wakubwa nchini kwa kuona kuwa hawapati wanachostahili.....Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k