Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Maafisa utumishi/ utawala.Halafu hivi kwanini hawaguswi? Hata lile sakata la watumishi hewa,kada hii ndio wakosefu namba moja lakini hawajafanywa lolote,hata kutwajwa
 
Wako designed that way kupitia huko vyuoni. Kwa sababu nature yao lazima wawe wengi,ni ngumu kwa nchi masikini kuwapa maslahi mazuri. Option nzuri ni kuwadunisha kisaikolojia kupitia training na practice. Hii ni mbaya kwa mtu lakini ni nzuri sana kimedani..mimi ni mmoja wao kwa hiyo nina experience nzuri! Narudi kwako mkuu,ova!
 
Jiulize umezaliwa hivyo au una tatizo gani ??!!
 
Maafisa utumishi/ utawala.Halafu hivi kwanini hawaguswi? Hata lile sakata la watumishi hewa,kada hii ndio wakosefu namba moja lakini hawajafanywa lolote,hata kutwajwa
Maafisa utumishi wana akili sana, huwezi kulinganisha na hilo kundi nalosema. Hakuna afisaa utumishi juha, wote wajanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…