Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Kuna mwalimu mmoja nimemuona anakaripiwa na dogo wa Mwenge, mwalimu kazi anabonyea kuomba msamaha, yote hii ni sababu ya kutojielewa.
Alitakiwa asinyenyekee, kama anafukuzwa afukuzwe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unawadharau maticha wewe,?
 
Hiyo mbona kawaida! Mwalimu anakuwezesha wewe kujifunza. Kama wewe ni kilaza hata ufundishwe na genius utabaki kilaza tu.
 
Uzuri ni kwamba mama yako mama Suzana alipewa mimba na Mwl Khamis akamzaa dada yako Safina, sasa hizo chuki zako na baba yako wa kambo kisa kamlala mama yako zipeleke hukohuko, usidhani kwenye mitandao haujulikan kaa kwa adabu kijana...
 
Kumbe naye alisomea ualimu halafu anaponda namna hii...
Ninachojua Mimi tunaweza site tusome kozi fulani halfu tukafanya kazi ofisi moja mmoja akatoka mwingine akafail labda yupo kundi la ealiofail na kukata tamaa..au aliliwa kichwa vyeti feki...
Lakini pamoja na magunu yote bado walimu ni kazi ya maana kabisa kama ulivyosema.
Tatizo jamii yetu inaamini kazi za maana ni zile zinakupa utajiri wa haraka hata kwa kuiba.
 
Nisime ualimu?
 
Uzuri ni kwamba mama yako mama Suzana alipewa mimba na Mwl Khamis akamzaa dada yako Safina, sasa hizo chuki zako na baba yako wa kambo kisa kamlala mama yako zipeleke hukohuko, usidhani kwenye mitandao haujulikan kaa kwa adabu kijana...
Mwalimu alafu unajiita director? Hii nchi Uhuru umezidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…