Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

Ila kweli Mkuu umeongea point ya msingi sana.
Kuanzia leo, mimi si mmiliki wa Arsenal wala Simba.
Hahahahaha.
 
Check hii bumunda.. unataka upangie watu maisha? Wewe ukichaa wako mbona uko kwenye dini lakin watu hawasemi?
 
Vipi kuhusu washabiki wa sii hasa,hasa zile za twawala🤓
 
Labda wanabet
 
inashangaza mtu anacha kufikiria juu ya kipato chake na kutolea macho watu 22 wanakimbiza ngozi ilijazwa upepo
 
Wasiojua Mpira wanahangaika sana kuona Wanaume wenzao wapo busy na mipira wao wakiangalia sinema na wakina dada...
 
inashangaza mtu anacha kufikiria juu ya kipato chake na kutolea macho watu 22 wanakimbiza ngozi ilijazwa upepo
Daah kazi ipo muda wote mnatafuta pesa aisee mbona mpo busy na vibeby walker Road atoning maajabu ya pesa zenu...
 
Wewe endelea na tamthilia za sinema zetu kaa na mkeo mfurahie mkojani hatujakuzuia zuzu wewe usitupangie starehe.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…