Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.

Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya.

Mpira unachezwa Ulaya wewe kenge unashindwa kula huku eti naumia nimefungwa.

Hata Kenya haujawahi kufika leo hii unaumia kisa Arsenal ya Uingereza imefungwa
Maskini shetani kaiba ufahamu wako.

Eti kijana hata laki 5 ya pamoja hajawahi kuikamata leo hii anamtambia mwenzake kuwa kamnunua Messi (billionaire).

Mashabiki wa soka acheni ujinga.

Huko Ulaya hawahangahiki na vitimu vyenu nyie ligi kuu ya Ulaya ikianza nyumbani munarudi saa 7 usiku.

Wake zenu mnawaachia bodaboda.
Ila kweli Mkuu umeongea point ya msingi sana.
Kuanzia leo, mimi si mmiliki wa Arsenal wala Simba.
Hahahahaha.
 
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.

Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya.

Mpira unachezwa Ulaya wewe kenge unashindwa kula huku eti naumia nimefungwa.

Hata Kenya haujawahi kufika leo hii unaumia kisa Arsenal ya Uingereza imefungwa
Maskini shetani kaiba ufahamu wako.

Eti kijana hata laki 5 ya pamoja hajawahi kuikamata leo hii anamtambia mwenzake kuwa kamnunua Messi (billionaire).

Mashabiki wa soka acheni ujinga.

Huko Ulaya hawahangahiki na vitimu vyenu nyie ligi kuu ya Ulaya ikianza nyumbani munarudi saa 7 usiku.

Wake zenu mnawaachia bodaboda.
Check hii bumunda.. unataka upangie watu maisha? Wewe ukichaa wako mbona uko kwenye dini lakin watu hawasemi?
 
Vipi kuhusu washabiki wa sii hasa,hasa zile za twawala🤓
 
Japo umeandika kwa jazba, kejeli na dharau ila huo ndo ukweli, mashabiki wa kibongo wa mpira ni kama wana mapungufu ya akili! Angalau huwa nawaelewa maafisa ubashiri wanapoumizwa na matokeo maana wanakuwa kwenye uzalishaji pale na si hao mashabiki njaa wanaoendekeza ushabiki usio na faida yoyote kwenye maisha yao.
Labda wanabet
 
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.

Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya.

Mpira unachezwa Ulaya wewe kenge unashindwa kula huku eti naumia nimefungwa.

Hata Kenya haujawahi kufika leo hii unaumia kisa Arsenal ya Uingereza imefungwa
Maskini shetani kaiba ufahamu wako.

Eti kijana hata laki 5 ya pamoja hajawahi kuikamata leo hii anamtambia mwenzake kuwa kamnunua Messi (billionaire).

Mashabiki wa soka acheni ujinga.

Huko Ulaya hawahangahiki na vitimu vyenu nyie ligi kuu ya Ulaya ikianza nyumbani munarudi saa 7 usiku.

Wake zenu mnawaachia bodaboda.
inashangaza mtu anacha kufikiria juu ya kipato chake na kutolea macho watu 22 wanakimbiza ngozi ilijazwa upepo
 
Wasiojua Mpira wanahangaika sana kuona Wanaume wenzao wapo busy na mipira wao wakiangalia sinema na wakina dada...
 
inashangaza mtu anacha kufikiria juu ya kipato chake na kutolea macho watu 22 wanakimbiza ngozi ilijazwa upepo
Daah kazi ipo muda wote mnatafuta pesa aisee mbona mpo busy na vibeby walker Road atoning maajabu ya pesa zenu...
 
Wewe endelea na tamthilia za sinema zetu kaa na mkeo mfurahie mkojani hatujakuzuia zuzu wewe usitupangie starehe.
 
Hao wote unaowaona Huko Kwa manabii, uwanjani na mikutano ya siasa ndiyo haohao usifikiri kuna kundi tofauti....Leo wakija chadema wanaenda kujaa na kesho wakija CCM wataenda tena kujaa na keshokutwa akija diamond watafurika na keshoyake akija alli kiba watajaa kama kawaida.
Watanzania ni zaidi ya mazombi
 
Back
Top Bottom