N:B: Waajiriwa wa serikalini
Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa wafanyabiashara na wanasiasa tena matajiri sana wenye majumba ya kifahari yanayosifika maeneo hayo lakini idadi yao ni ndogo
Ok, Kwa haraka haraka najua umewafikiria wafanya biashara wachache mabilionea, fikiria nje ya box kuhusu kundi la wafanyabiashara wengi zaidi wanaopitia misuko suko ya Tra kukomba pesa kwenye account, kuzidiwa kete kwenye kugombea wateja, Mzigo umeingia sokoni tayari doni kaleta mzigo wa kutosha kwa bei chee, wapo wanaopiga pesa safi lakini baada ya miaka kadhaa wanafirisika, n.k.
Tatizo mnaangalia vitu hivi kwa jicho la wamarekani na ulaya ambako kuna mazingira mazuri sana ya kujiajiri, watu wengi huwa mnayatoa mawazo kwenye mitandao wakati hali za nchi nyingine na yetu ni tofauti kabisa.
Kibongo bongo biashara na kujiajiri sheria sio rafiki na serikali ina msaada kidogo na uwahibikaji mchache, ndio maana waliotoboa wapo, lakini ni wachache na hata wao wakifariki biashara zinayumba kwasababu hawawezi hata kuwaambia watoto wao walivyokuwa wanafanya biashara, kuna mambo mengi ambayo wanaona aibu kuwaambia watoto wao kuanzia kuvunja sheria, njia za mkato, rushwa, kukwepa kodi, umafia, n.k.
Wafanya biashara ni kundi lenye watu wengi zaidi hapa nchini, na kweli wapo mabilionea wenye utajiri wa kutisha lakini ni wachache sana, maybe asilimia 1 tu.
Ukiangalia hapa nchini watu wengi wenye magari, nyumba standard, wanaopeleka shule private watoto, n.k. ni waajiriwa licha ya wao kuwa kundi lenye watu wachache.
Pia waajiriwa wanapofanya biashara wanakuwa na ka security ka kuto bugudhiwa kama wenzao, ukijulikana upo idara flani ya serikali husumbuliwi sana.
Ku Maintain - Ni kweli kuna kipindi huwa kuna biashara watu hasa vijana wanapiga pesa za kutosha daily lakini tatizo huwa ni kumaintain, Je kuna uhakika wa kuwa kwenye hio hali kwa zaidi ya miaka 10 ? Na kama mnavyojua wafanyabiashara wengi wakiona sehemu inalipa wanahamishia majeshi yote hapo, Nimeweza kuona wafanyabiashara wengi sana hapa bongo wanaishi life la juu kwa miaka kadhaa lakini baada ya miaka 10 huwezi kuamini ni wao, wapo waliofirisika, kufunga biashara, n.k.
Hakuna mazingira rafiki ya biashara Tanzania, Watu wanalalamika pesa zao zinakombwa kwenye account bila taarifa na TRA, hujakaa sawa Task force wanafunga account, Hujakaa sawa kuna mzito kaja kuharibu biashara, hujakaa sawa unabambikiwa kesi utoe milioni 50 au uende jela, n.k.