makundi mbalimbali yamekuwa yakipigania kutajwa katika katiba na hata wengine kudiriki kutaka mambo ambayo kimsingi si ya kuingia katika katiba.
Hapa tumejisahau kuwa kinachotusumbua si kutotajwa katika katiba ndio maana hatukuridhika huko nyuma bali kutokuwepo kwa misingi ya kutoa haki pengine katika katiba ndio tatizo kubwa.
Jambo la kwanza kwetu sote iwe ni kupigania misingi ya kutoa haki kwa wote ijengwe katika katiba na hapo kila mmoja katika kundi lake dogo haki yake ataipata.
makundi mbalimbali yamekuwa yakipigania kutajwa katika katiba na hata wengine kudiriki kutaka mambo ambayo kimsingi si ya kuingia katika katiba.
hapa tumejisahau kuwa kinachotusumbua si kutotajwa katika katiba ndio maana hatukuridhika huko nyuma bali kutokuwepo kwa misingi ya kutoa haki pengine katika katiba ndio tatizo kubwa.
jambo la kwanza kwetu sote iwe ni kupigania misingi ya kutoa haki kwa wote ijengwe katika katiba na hapo kila mmoja katika kundi lake dogo haki yake ataipata.
hata hivyo vyote ulivyovitaja vingewepo wewe ni mkaidi tu ungejifanya kuja na hoja nyinginem unaonekana huna hoja humu ndani utapatapa tu, ulichokiongea hapo chooote kimeainishwa vizuri kwenye hiyo katiba unayoipinga, nimegundua pia una brain retarded illness au huenda ubongo wako una utapiamlo kiac umekuwa mgumu kuelewa, kasome tena upyaa katiba inayopendekezwa sura ya tano utaona namna makundi mbalimbali yalivyotajwa na namna yatakavyonufaika na katiba hii.
Daaah mtu kama hujaisoma KATIBA PENDEKEZWA usipotoshe kwa kuongea vitu vya kufikirika unatenda dhambi hata mbele za mungu...yaan we mwenyewe sijui kama umejielewa hicho ulichoandika
unajua sielewi wanajamii kama ninyi mnaopenda jamii kubaki katik ujinga mna maslahi gani na ujinga wa jamii? mimi napenda nikuambie swala la katiba ni vema jamii ikajadili na kuweka mambo sawa sio kufunika mambo kwa wengine wakidhani pengine wanatake advantage kumbe ni kuipeleka jamii katika historia za kijinga na wao wakati mwingine kubadilika na kuanza kulaumu watu wengine.
naomba nikukumbushe machifu waliokuwa wakitutawala, hawa walifanya mambo mengi ya kipuuzi ikiwemo kuwauza baadhi ya ndugu zetu kama watumwa, wengine waliendesha jamii unfairly lakini leo hii wako wapi? wengine leo hii wajukuu zao wanang'ang'ania majina yao kwa kujiita machifu lakini bila heshima yoyote kwa maana jamii iliwachukia kwa utawala wao.
tusiwe na akili za machifu na baadae kuiponza jamii yetu na sisi wenyewe kukosa heshima.
tuielekeze jamii yetu katika kuweka mifumo na mifumo ikisha kaa sawa kila kila kitu kingine kitaenda vizuri.
ningekujibu kwa lugha uliyotumia lakini nitakuwa najishusha, kwangu mimi naamini kundi kutajwa katika katiba ni useless kama hakuna mfumo wa kulinda haki hiyo iliyotajwa.
mimi sisomi katiba kwa kuangalia ibara fulani inasema nini bali naenda mbali zaidi kuangalia baada ya katiba kusema nini kinafuata na ni nani atatekeleza na je yule anayetakiwa kutekeleza nani atahoji au mhusika ataenda wapi na kuna mfumo unaofanya haki itendeke.
katiba haisomwi kwa kifungu kimoja kwani huwezi kupata kitu chochote katika maisha kwa kutumia kifungu kimoja tu cha katiba na hilo ndilo tatizo la wengi.
Kasome ndugu yangu hiyo katiba usipende usomewe ili uamini yaliyomo.
Huyo EGO ana matatizo afu nahisi huyu jamaa sio Mtanzania maana hajui kuwa uhalali wa Katiba unatokana na wananchi naona hajasoma sehemu inayoeleza Mamlaka ya Wananchi kwenye Ibara ya 7 kwenye katiba pendekezwa inayoweka wazi kuwa Nchi yoyote inayoamini katika demokrasia na utawala wa kisheria ni sharti itambue mamlaka ya wananchi wake. Katiba Inayopendekezwa inazingatia ukweli kwamba wananchi ndiyo msingi na chimbuko la mamlaka yote ya uendeshaji na utawala wa nchi, sasa unapoendelea kubisha hata sikuelewi kapige kura ya ndio uone hiyo haki kama hutatendewa!
Ha ha ha ego unajifanya mbishi kumbe hujui lolote tulia nikupe darasa, unalialia haki ya kulinda makundi unayoitaka hivi unataka iandikweje?? umesahau kabisa kuwa Katiba Pendekezwa imeweka wazi tena kwenye misingi kuwa jamii ya Tanzania izingatie mfumo wa demokrasia na misingi ya utawala bora ambayo Serikali yake inasimamiwa na bunge lenye wabunge waliochaguliwa na wanaowakilisha wananchi, Tena ikataja wazi kuwepo kwa Mahakama huru inayozingatia misingi ya utoaji HAKI na kuhakikisha kuwa haki za binadamu zinalindwa na kudumishwa na kwamba uhuru na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu.
Sasa wewe ego hapo unajichanganya mwenyewe kwa kushindwa kuelewa mfumo wa utoaji haki nchini, hivi unafikiri Kazi ya Mahakama ni nini? Bila Mahakama hiyo haki ya makundi unayoidai na kuisemea itapatikanaje? ndio maana nakuambia nina wasiwasi na wewe Katiba hujaisoma usidanganye watu kama huelewi kaa kimya waachie wenye uelewa wajenge hoja humu usiwe domokaya bhana.
Ni kweli, kiongozi, hao jamaa ni wapiga deal. Angalia hata tarehe zao za kujiunga hapa JF, ndipo unaona wazi hawa ni magamba wapiga deal. Hawana uzalendo wowte kwa Taifa, wako tayari kuua taifa ili kulinda magamba yao yasidondokeMkuu ego, hebu acha kuwatibulia magamba mchongo wao kwa maana hicho ndicho kidanganyio chao kwenye katiba.
Ni kweli, kiongozi, hao jamaa ni wapiga deal. Angalia hata tarehe zao za kujiunga hapa JF, ndipo unaona wazi hawa ni magamba wapiga deal. Hawana uzalendo wowte kwa Taifa, wako tayari kuua taifa ili kulinda magamba yao yasidondoke
Wee Mwakaboko na huyo Lukindo mna akili za uwendawazimu na huenda mmetumwa kuja kuchafua hali ya hewa ndani ya JF hivi kwa akili zenu mnadhani hii Forum ni yenu pekeenu achilia hilo Tanzania kwa Sensa ya Watu na Makazi 2012 ina watu zaidi ya milioni 45 Sasa kwa akili yenu ndogo mliyonao hao hawana haki ya kujiunga JF au mlitaka wachangiaji watoke wapi acheni dharau na mnaonekana mmefirisika vichwani hamna hoja na mmetumwa leteni hoja mezani tupambane msiwe manyang'au nyie!
Wewe endelea kupiga hela za katiba, zilizotolewa na wenye deal la kufungua akaunti nje ya nchi huku wakiwa viongozi katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kula hela tembea zako. Katiba itapita hata kama wananchi wasipoipitisha, itapitishwa kwani hulijui hilloooo!!!!
Ndiyo maana Kafulila aliamua kumwita mtu Mwizi hivi hivi, unaonesha ww ni mwizi wa mali ya umma, ndiyo maaana unawatetea sana wezi wenzakoMwakaboko nimeshakuambia mara kibao punguza kupiga domo, jenga hoja unapiga kelele zisizokuwa na maana na unawaza ----- nimeshakuambia wewe umetumwa kuchafua discussion ndani ya JF kama huna hoja kaa kimya au ondoka humu kuliko kupayuka payuka wala haikusaidii.
Ndiyo maana Kafulila aliamua kumwita mtu Mwizi hivi hivi, unaonesha ww ni mwizi wa mali ya umma, ndiyo maaana unawatetea sana wezi wenzako
Ni kweli, kiongozi, hao jamaa ni wapiga deal. Angalia hata tarehe zao za kujiunga hapa JF, ndipo unaona wazi hawa ni magamba wapiga deal. Hawana uzalendo wowte kwa Taifa, wako tayari kuua taifa ili kulinda magamba yao yasidondoke