Kundi la Al-qaeda lina mapato 416.5B kwa mwaka. Mwaka 2021 55.5B zatumika kununua silaha

Kundi la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia TZS bilioni 55.5 kununua silaha, Taasisi ya Hiraal imeeleza. Ripoti imefafanua kuwa kundi hilo lenya mfungamano na al-Qaeda lina mapato ya TZS bilioni 416.5 kwa mwaka, linayokusanya pia kupitia kodi katika maeneo ya Somalia inayoyakalia.

Swali: Ni nani yupo nyuma ya haya makundi ya kigaidi kiufadhili?
Unahis waliomteka mo walikua wajinga. Hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini bali ujifichia kwenye dini Ili kupata wafuasi
 
Nenda YouTube search cocaine Afghanistan kuna mashamba ya kufa mtu wasimamizi Serikali ya Taleban ambayo ni proxy wa Osama bin Laden na Alkaeda yake

Mirungi nenda Kenya hapo wana hadi uwanja wa ndege ambao kazi yake kubwa ni kusafirisha mirungi tu kupeleka uwanja wa ndege wa Wilson Intetnational Airport ndio shughuli yake kubwa kama hujui.Uchumi wa Kenya unategemea pia sana mauzo ya mirungi kupata pesa za kigeni

Nchi Ambazo uislamu haupo unatumika tu kutawalia watu kimabavu ni Afghanstan na Somalia

Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini ilipiga marufuku mirungi kuwa ni Haramu Somali a mtu anaingia msikitini Kala mirungi na akitoka msikitini anakula mirungi nje ya msikiti halafu utasikia somalia uislamu mtupu.Pombe haramu ila mirungi Ruksa!!!

Marekani hupigana vita sehemu Tatu kuu ambazo zinakuwa na pesa nyingi ukiwa na Madini mmarekani anakuja kutaka kuteka hiyo Niagara ndio maana kongo haitawaliki pia ukiwa na mafuta mmarekani huyo ndio maana alivamia nchi kibao zikiwemo Iraki,Libya nk kwenye Arab Spring zilipinduliwa nchi kibao

Tatu mmarekani ukiwa mzalishaji mkubwa wa cocaine na mirungi ambayo huingiza pesa nyingi lazima Avamie ndio maana alivamia Afghanistan na Somalia sababu ma drug lord hao waliojificha kwenye mwavuli wa uislamu wa siasa kali walianza kuleta shida sababu ya pesa zao wanazopata kutokana na mauzo ya drugs na mirungi

Afghanistan wanalima sana opium ambayo ndio zao linalotengeneza Heroin nafikiri na mandrax, coke inalimwa sana south America ndio inatengeneza cocaine...

Somalia ni soko kuu la mirungi kutoka Kenya, kiasi kikubwa wanaimport mirungi kutoka Kenya..sidhani kama somalia kuna kilimo cha mirungi kiasi hicho zaidi ya kuimport
 
Mkuu mwambie tu Afghanistan kunapatikana kwa wingi Heroine
jamaa hajui chochote on what's going on around the world. .....anashupaza shingo kwa vitu asivyovijua kabisa,.
Sikuona haja ya kumuambia ukweli huyu LMB 7 ....maana anaonekana hana kawaida ya kuruhusu akili yake kukubali kuwa haijui chochote.
 
Nenda YouTube search cocaine Afghanistan kuna mashamba ya kufa mtu wasimamizi Serikali ya Taleban ambayo ni proxy wa Osama bin Laden na Alkaeda yake

Mirungi nenda Kenya hapo wana hadi uwanja wa ndege ambao kazi yake kubwa ni kusafirisha mirungi tu kupeleka uwanja wa ndege wa Wilson Intetnational Airport ndio shughuli yake kubwa kama hujui.Uchumi wa Kenya unategemea pia sana mauzo ya mirungi kupata pesa za kigeni

Nchi Ambazo uislamu haupo unatumika tu kutawalia watu kimabavu ni Afghanstan na Somalia

Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini ilipiga marufuku mirungi kuwa ni Haramu Somali a mtu anaingia msikitini Kala mirungi na akitoka msikitini anakula mirungi nje ya msikiti halafu utasikia somalia uislamu mtupu.Pombe haramu ila mirungi Ruksa!!!

Marekani hupigana vita sehemu Tatu kuu ambazo zinakuwa na pesa nyingi ukiwa na Madini mmarekani anakuja kutaka kuteka hiyo Niagara ndio maana kongo haitawaliki pia ukiwa na mafuta mmarekani huyo ndio maana alivamia nchi kibao zikiwemo Iraki,Libya nk kwenye Arab Spring zilipinduliwa nchi kibao

Tatu mmarekani ukiwa mzalishaji mkubwa wa cocaine na mirungi ambayo huingiza pesa nyingi lazima Avamie ndio maana alivamia Afghanistan na Somalia sababu ma drug lord hao waliojificha kwenye mwavuli wa uislamu wa siasa kali walianza kuleta shida sababu ya pesa zao wanazopata kutokana na mauzo ya drugs na mirungi
Umeongea vema maana biashara haramu ndo zinazoendesha nchi zenye nguvu kubwa kiuchumi muulize kwanini wamarekani walikiwepo Afghanistan??
 
Nenda YouTube search cocaine Afghanistan kuna mashamba ya kufa mtu wasimamizi Serikali ya Taleban ambayo ni proxy wa Osama bin Laden na Alkaeda yake

Mirungi nenda Kenya hapo wana hadi uwanja wa ndege ambao kazi yake kubwa ni kusafirisha mirungi tu kupeleka uwanja wa ndege wa Wilson Intetnational Airport ndio shughuli yake kubwa kama hujui.Uchumi wa Kenya unategemea pia sana mauzo ya mirungi kupata pesa za kigeni

Nchi Ambazo uislamu haupo unatumika tu kutawalia watu kimabavu ni Afghanstan na Somalia

Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini ilipiga marufuku mirungi kuwa ni Haramu Somali a mtu anaingia msikitini Kala mirungi na akitoka msikitini anakula mirungi nje ya msikiti halafu utasikia somalia uislamu mtupu.Pombe haramu ila mirungi Ruksa!!!

Marekani hupigana vita sehemu Tatu kuu ambazo zinakuwa na pesa nyingi ukiwa na Madini mmarekani anakuja kutaka kuteka hiyo Niagara ndio maana kongo haitawaliki pia ukiwa na mafuta mmarekani huyo ndio maana alivamia nchi kibao zikiwemo Iraki,Libya nk kwenye Arab Spring zilipinduliwa nchi kibao

Tatu mmarekani ukiwa mzalishaji mkubwa wa cocaine na mirungi ambayo huingiza pesa nyingi lazima Avamie ndio maana alivamia Afghanistan na Somalia sababu ma drug lord hao waliojificha kwenye mwavuli wa uislamu wa siasa kali walianza kuleta shida sababu ya pesa zao wanazopata kutokana na mauzo ya drugs na mirungi
Asante kwa maelezo mujwarabuuuuu!!!
 
Si jamaa alianzisha thread kuwa marekani ndo yupo nyuma ya hayo makundi na wanatumia silaha za kisasa kabisa.
 
Kundi la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia TZS bilioni 55.5 kununua silaha, Taasisi ya Hiraal imeeleza. Ripoti imefafanua kuwa kundi hilo lenya mfungamano na al-Qaeda lina mapato ya TZS bilioni 416.5 kwa mwaka, linayokusanya pia kupitia kodi katika maeneo ya Somalia inayoyakalia.

Swali: Ni nani yupo nyuma ya haya makundi ya kigaidi kiufadhili?
Uislam unasingiziwa tu, hakuna cha kuestablisha sheria za kiislam wala nini, lengo ni kuwa-exploit wasomali, hata hii serikali yetu sioni tofauti yake na alsabaab kwa kweli
 
Mkuu mwambie tu Afghanistan kunapatikana kwa wingi Heroine
Marekani ndio maana walienda kushambulia kutaka kumiliki wao hiyo biashara kuyanyanganya mataleban

Mmarekani hutaka kumiliki njia zote kuu za uchumi mkubwa wa dunia ambao ni madini,mafuta na madawa ya kulevya.Somalia na Afghsnistan walitwangwa sababu kule kuna mihadarati na Heroine ambazo majambaxi ya alshabab na alkaeda yakiyojificha kwenye uislamu yalikuwa yanashikilia uzalishaji na usambazaji na biashara zake

Utagundua waliposhika tu msumbiji eneo la karibu na mtwara JWTZ walikamata boti ya waafghanstan waliopitia pakistan ikiwa imejaa madawa ya kulevya yale yalikuwa yakienda godown zao mozambique kwa ajili ya kuuzwa ukanda wa Afrika ya kusimi,kati na Afrika mashariki.Bahati mbaya upepo ukavurumisha boti lao wakajikuta wako pwani ya bahari ya Tanzania wakadakwa na JWTZ na kikosi cha kupambana na dawa za kulevya
 
Back
Top Bottom