Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Kuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoît Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai.
Kwa wale ambao walikuwa mashabiki wa kundi la Camp Mulla, je, kwa nini walipotea ghafla? Ni masuala ya biashara? Au ilikuwa na shida za kibinafsi ndani ya kundi? Je naweza kujua vipi ni nini kilichosababisha mwisho wa safari yao nzuri ya muziki?