saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 573
- 295
Kipindi hichi Beib ulikua hata chromosomes hazija komaa hebu kaa kimya tujifunze kwq wakubwaAta siwajui 😹😹🙌🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi hichi Beib ulikua hata chromosomes hazija komaa hebu kaa kimya tujifunze kwq wakubwaAta siwajui 😹😹🙌🏾
Sasa mbona wanatabasamu kama wamelazimishwa kwa mtutu?
#Violence
Sio Kila mtu ni wa kijijin ndani ndani na ww usikalili maisha 🙌🏾Ulikuwa kijijini ndani ndani sana, this guys were famous na walikuwa wana hiy kali sana
Moja ya makundi bora kenya
We kila mtu humjuiAta siwajui 😹😹🙌🏾
Shida pia wali kuwa wakishua, so wana Fanya for fun and passion tu.Achana na hao vijana, walikuwa 🔥🔥🔥 hadi bongo ikatengenezwa pah one. .
Sauti sol na P Unit nao walikuwa kwenye peak. Na baadae Elani wakaja na upepo.
Kiuhalisia Kwenye musical groups, Kenya walikuwa mbali sana
Nyimbo zao zilizotamba ni kama zipiKuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoît Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai.
View attachment 3271132
Kwa wale ambao walikuwa mashabiki wa kundi la Camp Mulla, je, kwa nini walipotea ghafla? Ni masuala ya biashara? Au ilikuwa na shida za kibinafsi ndani ya kundi? Je naweza kujua vipi ni nini kilichosababisha mwisho wa safari yao nzuri ya muziki?
View attachment 3271133
Shida pia wali kuwa wakishua, so wana Fanya for fun and passion tu.
ndio chanzo Cha ku break down
Naam, maana walisha wahi kuwa nominated betNa ndio tatizo hilo kuona muziki ni option Ila wangekomaa. Wangefika mbali sana