Kundi la Camp Mulla kilitokea nini mpaka wakavunjika?

Kundi la Camp Mulla kilitokea nini mpaka wakavunjika?

Achana na hao vijana, walikuwa 🔥🔥🔥 hadi bongo ikatengenezwa pah one. .

Sauti sol na P Unit nao walikuwa kwenye peak. Na baadae Elani wakaja na upepo.

Kiuhalisia Kwenye musical groups, Kenya walikuwa mbali sana
Shida pia wali kuwa wakishua, so wana Fanya for fun and passion tu.

ndio chanzo Cha ku break down
 
Kuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoît Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai.
View attachment 3271132

Kwa wale ambao walikuwa mashabiki wa kundi la Camp Mulla, je, kwa nini walipotea ghafla? Ni masuala ya biashara? Au ilikuwa na shida za kibinafsi ndani ya kundi? Je naweza kujua vipi ni nini kilichosababisha mwisho wa safari yao nzuri ya muziki?
View attachment 3271133
Nyimbo zao zilizotamba ni kama zipi
 
Back
Top Bottom