Kundi la Camp Mulla kilitokea nini mpaka wakavunjika?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Kuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoît Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai.
images - 2025-03-15T114924.818.jpeg

Kwa wale ambao walikuwa mashabiki wa kundi la Camp Mulla, je, kwa nini walipotea ghafla? Ni masuala ya biashara? Au ilikuwa na shida za kibinafsi ndani ya kundi? Je naweza kujua vipi ni nini kilichosababisha mwisho wa safari yao nzuri ya muziki?
images - 2025-03-15T114914.139.jpeg
 
Kuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoît Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai.
View attachment 3271132

Kwa wale ambao walikuwa mashabiki wa kundi la Camp Mulla, je, kwa nini walipotea ghafla? Ni masuala ya biashara? Au ilikuwa na shida za kibinafsi ndani ya kundi? Je naweza kujua vipi ni nini kilichosababisha mwisho wa safari yao nzuri ya muziki?
View attachment 3271133
Ilisemwa kuwa waliamua tu. Wengine walikuwa busy na elimu (masomo) nje ya nchi basi wakaona kundi haliwezi endelea. Ila walitusikitisha sana, maana walikuwa wamoto sana
 
Camp Mula wazee kutoka Kenya, wale Jamaa wali kuwa wa kishua.
Hence wali fanya mziki for fun.

hawakuwa na pressure yoyote, eti labda Kodi, au wapate mtonyo hapana.
Ogopa mtu ana muita raisi family friend, na ana muambia njoo usikize album😁

Kina miss karun, taio, shapaman, and kusma.

Kiranga na Eyce mna relate hapa au nime wapiga Chenga ?
FB_IMG_17420295251158526.jpg
 
Ilisemwa kuwa waliamua tu. Wengine walikuwa busy na elimu (masomo) nje ya nchi basi wakaona kundi haliwezi endelea. Ila walitusikitisha sana, maana walikuwa wamoto sana
Ahh basi ndo maana! Walikuwa moto sana
 
Camp Mula wazee kutoka Kenya, wale Jamaa wali kuwa wa kishua.
Hence wali fanya mziki for fun.

hawakuwa na pressure yoyote, eti labda Kodi, au wapate mtonyo hapana.
Ogopa mtu ana muita raisi family friend, na ana muambia njoo umsikize album😁

Kina miss karun, taio, shapaman, and kusma.

Kiranga na Eyce mna relate hapa au nime wapiga Chenga ?
View attachment 3271150
That gut 👌 kwamba Rais njoo usikilize Album 😃
 
Camp Mulla ilikuwa kundi la muziki wa hip hop mbadala kutoka Nairobi, Kenya, lililoanzishwa mwaka 2009. Walipata umaarufu kupitia nyimbo zao kama "Party Don't Stop" na "Fresh All Day". Mwaka 2012, walikuwa kundi la kwanza la Kenya kuteuliwa katika tuzo za BET katika kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa (Afrika).

Baada ya kuachia albamu yao ya kwanza, "Funky Town", mwaka 2012, baadhi ya wanachama walianza kujitenga ili kufuata miradi ya kibinafsi na masomo. Hata hivyo, mwaka 2017, walitangaza kurejea pamoja na walipanga kutoa albamu ya pili, ingawa haijulikani kama ilitolewa.
 
Camp Mula wazee kutoka Kenya, wale Jamaa wali kuwa wa kishua.
Hence wali fanya mziki for fun.

hawakuwa na pressure yoyote, eti labda Kodi, au wapate mtonyo hapana.
Ogopa mtu ana muita raisi family friend, na ana muambia njoo usikize album😁

Kina miss karun, taio, shapaman, and kusma.

Kiranga na Eyce mna relate hapa au nime wapiga Chenga ?
View attachment 3271150
Sasa mbona wanatabasamu kama wamelazimishwa kwa mtutu?

#Violence
 
Camp Mula wazee kutoka Kenya, wale Jamaa wali kuwa wa kishua.
Hence wali fanya mziki for fun.

hawakuwa na pressure yoyote, eti labda Kodi, au wapate mtonyo hapana.
Ogopa mtu ana muita raisi family friend, na ana muambia njoo usikize album😁

Kina miss karun, taio, shapaman, and kusma.

Kiranga na Eyce mna relate hapa au nime wapiga Chenga ?
View attachment 3271150
Achana na hao vijana, walikuwa 🔥🔥🔥 hadi bongo ikatengenezwa pah one. .

Sauti sol na P Unit nao walikuwa kwenye peak. Na baadae Elani wakaja na upepo.

Kiuhalisia Kwenye musical groups, Kenya walikuwa mbali sana
 
Wakenya wanajua kujikusanya na kufanya good music! Elani Music nao ni 🔥
 
Back
Top Bottom