Kipindi hichi Beib ulikua hata chromosomes hazija komaa hebu kaa kimya tujifunze kwq wakubwaAta siwajui ๐น๐น๐๐พ
Sasa mbona wanatabasamu kama wamelazimishwa kwa mtutu?
#Violence
Sio Kila mtu ni wa kijijin ndani ndani na ww usikalili maisha ๐๐พUlikuwa kijijini ndani ndani sana, this guys were famous na walikuwa wana hiy kali sana
Moja ya makundi bora kenya
We kila mtu humjuiAta siwajui ๐น๐น๐๐พ
Shida pia wali kuwa wakishua, so wana Fanya for fun and passion tu.Achana na hao vijana, walikuwa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ hadi bongo ikatengenezwa pah one. .
Sauti sol na P Unit nao walikuwa kwenye peak. Na baadae Elani wakaja na upepo.
Kiuhalisia Kwenye musical groups, Kenya walikuwa mbali sana
Nyimbo zao zilizotamba ni kama zipiKuanzia mwaka 2009 mpaka 2018 walituburudisha sana, vipaji vikubwa sana kutoka kwa Marcus Kibukosya, Benoรฎt Kanema, Matthew Wakhungu pamoja na kadada karembo Karungari Mungai.
View attachment 3271132
Kwa wale ambao walikuwa mashabiki wa kundi la Camp Mulla, je, kwa nini walipotea ghafla? Ni masuala ya biashara? Au ilikuwa na shida za kibinafsi ndani ya kundi? Je naweza kujua vipi ni nini kilichosababisha mwisho wa safari yao nzuri ya muziki?
View attachment 3271133
huyo muambie mziki wa taarabu atakuelewa
Shida pia wali kuwa wakishua, so wana Fanya for fun and passion tu.
ndio chanzo Cha ku break down
Naam, maana walisha wahi kuwa nominated betNa ndio tatizo hilo kuona muziki ni option Ila wangekomaa. Wangefika mbali sana