Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

Wewe utakuwa na element za Mwiguluism!
 
Hatupo kwenye mashindano ya kutafuta Rais clean kuliko wote.

Unfortunately Rais wetu wa Sasa anaogopa sana kufanya maamuzi ili asikwaze watu, Hilo haliwezi tokea huwezi mfurahisha Kila mtu au ukawa sawa wakati wote,

Hivyo kulaumu wengine badala ya kutake responsibility ya maamuzi yako hiyo sio sahihi.

Baada ya kuingia madarakani Rais aliteua team yake hivyo kusema kwamba anahujumiwa naweza nisiamini.
 
Tulia dada usipanic hivyo... Haya mambo hayataki hasira. Kwa hiyo unataka kusema kosa ni la Rais?
Ondoa kichwani kwako hii mentality ya udume na hii itakusaidia uwe raia mwema,kuwa ke haina maana upo weak na bila shaka wewe unailetea nchi yetu familia itakayokua boys wanajiona wapo above girl's ni mbaya mno,jenga familia yenye upendo regardless your sex,kujibia kuwa kosa ni la Rais ,YES ni la kwake maana bucket stop in her door.Tujifunze ili tuelewe hii miswada inapitia ngazi zipi hadi ziwe sheria na uungwana ni kitu kizuri,mimi ni ME ila ninaheshimu kila binadamu bila ubaguzi na siwaoni KE kama ni sex dhaifu
 
Anakotoka ubunge alikosa wakampa yule Covid19 wa Kafulila

Ila jimboni kwake ni vichwa maji Sana
1.Dor Gwajima
2.Mwigulu
3.Kitila
 
Nimegundua kuwa magufuli haikuwa muongo wakati ule anasema "watanzania wengi ni wanyonge", ingawa wengi wa vijana wa Ufipa walilikataa ila kupitia hizi tozo unadhani wengi wao wameitambua nafasi yao kwenye Taifa kama hili .
sasa pointi yako ni ipi?
 
Ushauri mwanana huu mwenye macho haambiwi tazama.
 
Kapewa pesa na mabenk Ili kuihujumu mitandao ya simu.
Benk zimeshindwa ushindani zimebakia kutumia wanasiasa uchwara kuumiza wananchi
 
Umakini wa nn shauri yake alionywa Sana tangu mwanzo amtoe akusikia mwache apumzike tu 2025 labda kaamua kuaga kiaina.
 
Sidhani kama atakusikia au kufuata ushauri wako maana hadi sasa hivi alitakiwa kuwa amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri akamtoa kabisa baada ya kusema watu wahamie Burundi alikotoka kutembelea. Tusubiri tuone hii leadership style itamfikisha wapi!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja na sisi tumchonganishe na samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…