makwegaFMM
Member
- May 25, 2020
- 35
- 56
Yanga haiwezi kua kwenye pot 4. Itakua 3.Hapo utopolo anawatamani jwaneng Galax na medeama ila waambieni hatokutana nao kundi moja kwasababu atakua nao pot namba 4 au unaweza ita pot la vibonde.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ni mtu na mchepuko wake.Jwaneng kapiga mtu na shoga yake
Tulikuwa tunakataa bure kuwa huko wapo wawili tu... leo wanaenda kuhaibisha taifa
Wa klabu bingwa? Waliiruka hatua ya makundi? πππLast season Yanga ni Wana fainali, wewe wa wapi?
Walishaelekezwa kibra, shukrani kwa beki wa Dynamos.Tutie mguu hapa
Kupita ni kupita tu,mengine mbele ya safariWalishaelekezwa kibra, shukrani kwa beki wa Dynamos.
JF waitoe mara moja hiyo PhDUnaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?
Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?
Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
Wacha weeeKupita ni kupita tu,mengine mbele ya safari
Mkhundwou unakuwasha.Acha utabiri binti ukiwa na mimba
Duh! Hadi Zamalek hayuko?...Yanga haiwezi kua kwenye pot 4. Itakua 3.
Yanga ipo nafasi ya 18 kwa ranks za CAF.(CAF 5 Years Ranking)
Ili awe pot 4 ni lazima timu 12 kati ya 15 zitakazoingia makundi pamoja nae ziwe zimeizidi rank kitu ambacho ni impossible maana 6 tayari hazimo.
Raja
Zamalek
JS Kabylie
Horoya
USM Alger
Orlando Pitates